Usipuuzie past ya mwanamke

Hivi ukijua mwanamke ni michezo lakini ukakausha ili uwe unajipigia tu. Is it equal to simping? πŸ˜„
Katika iyo situation unaweza kuwa simp au usiwe simp. Apply logic katika mahusiano, usiwe na akili kwamba mwanamke anakufanyia favor
 
Wanawake wanakuwa overused kama ulivyoiweka kwa sababu ya kuamini wanaume kama mimi na wewe.

Alimwamini wa kwanza, akamkadhi mbunye akapiga akasepa. Wengine waliofuata wana mtazamo kama wako. Wakimkuta siyo bikra inakuwa hit and run.

Kwa mtindo huo ni lazima awe overused. Lakini niamini bro, siyo kila asiye bikra basi hafai kuolewa, na wala siyo kila aliye bikra basi anafaa kuolewa.

Ila kama vigezo vyako ni lazima awe bikra ndipo utadumu naye plus kumuoa, ni bora umueleze mapema kabla hajakuamini kukupa mbunye ambayo utakuta siyo bikra umuache aendelee kuwa overused.
 

niongeze tu!

Mapenzi ni mchezo wa hisia. Unajua kama umeshinda ama umepoteza mchezo ukiisha.

Mchezo kwisha ni ima mmoja amerudi mavumbini, ama amechoka kucheza mchezo na aliyonaye!

Hivyo basi, anayeweza kudhibiti hisia anayo nafasi kubwa ku-exploit wengine kwenye huu mchezo wa mapenzi
 
There is exception in every thing, but exceptionality don't count when we make laws.
 
Ndicho ninawasisitiza vijana, kila mtu anapenda lakini katika uko kupenda usisahau kutumia logic.
While respecting intellectual imaginative of the 2000's gen,

Nafikiri wazazi wa vijana hawa wamewakosea vijana...maana wamewanyima maarifa stahiki ya kukabiliana na maisha aka stadi za maisha ya mahusiano.

Tuendeko kwa mwendo huu, Depression utaanza kuwa ugonjwa unaokatili maisha ya watu hapa TZ. Unless tubadilike, Wazazi wawape vijana elimu ya stadi za maisha ya mahusiano na mawasiliano
 
You can take man out of UN but not UN out of man so does a hore with streets!
 
πŸ˜€πŸ˜€ Mkuu mbona Kwa hasira hivo

What's going on men??
 
Wazazi wenyewe wa watoto wa 2000 ndio hawa wakina kajala unategemea nini hapo., kizazi cha wife material kiliishia miaka ya 70, batch ya generation ya kuanzia 80's ni majanga tu
 
Pole sana Braza
 
Yani unavyosema wenye bikira ndio tutawaoa bado najiuliza hao mabikira wanapatikana wapi au unaongeleqa vitoto vya shule ya msingi na ni sheria ipi inakuruhusu kuoa hao, hebu acheni kujifariji kwa dunia ya leo wenye shida na hizo bikira na tabia njema ni wanaume na siyo wanawake kwahiyo wanaume ndio wanatakiwa wafanye kila namna kuhakikisha hawawachezei wanawake vinginevyo kubalianeni na hali halisi, huwezi kuyachafua mazingira halafu baadaye uje kulalamika kwamba eti yanakupa hewa chafu lazima uyatunze ili yakupe hewa safi vinginevyo ukiyachafua usilalamike na mazingira yakichafuka mwenye hasara zaidi ni wewe..kama hujaelewa hapa utaniambia nikuelezee huo mfano katika maisha halisi kabla hujaanza kuleta zile porojo zenu za mfumo dume ambazo zilikuwa zinafanya kazi enzi za bibi zetu na siyo kwa hawa wanawake wa sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…