Usiri mkubwa waraka wa mishahara ya walimu.

Usiri mkubwa waraka wa mishahara ya walimu.

TAIFAKWANZA

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
162
Reaction score
67
Salaam wana JF.Poleni kwa majukumu na mahangaiko ktk michakato ya maisha ya kila siku.Mwenzenu nimekuwa na wasiwasi juu ya usiri mkubwa unaofanywa na serikali juu maslahi halali ya watumishi wa umma hasa walimu ambao mpaka dakika hii hawajui viwango vyao vipya vya mishahara kwa mwaka mpya wa fedha 2013-2014.Hali hii imewafanya walimu kupoteza molari wa kazi licha ya shule nyingi kufunguliwa mwezi huu.Si hilo tu lipo swala la malimbikizo ya mishahara kutolipwa pamoja na upandishwaji vyeo kufanyika kwa upendeleo mkubwa.Ningeomba kama kuna mwenye taarifa sahihi za waraka mpya wa mishahara mipya basi atujuze ili walimu wetu wa tz wajiandae kufanya kama wa huko Kenya.
Nawasilisha.
 
Salaam wana JF.Poleni kwa majukumu na mahangaiko ktk michakato ya maisha ya kila siku.Mwenzenu nimekuwa na wasiwasi juu ya usiri mkubwa unaofanywa na serikali juu maslahi halali ya watumishi wa umma hasa walimu ambao mpaka dakika hii hawajui viwango vyao vipya vya mishahara kwa mwaka mpya wa fedha 2013-2014.Hali hii imewafanya walimu kupoteza molari wa kazi licha ya shule nyingi kufunguliwa mwezi huu.Si hilo tu lipo swala la malimbikizo ya mishahara kutolipwa pamoja na upandishwaji vyeo kufanyika kwa upendeleo mkubwa.Ningeomba kama kuna mwenye taarifa sahihi za waraka mpya wa mishahara mipya basi atujuze ili walimu wetu wa tz wajiandae kufanya kama wa huko Kenya. Nawasilisha.
Acha umbea mkuu kwa nini wapoteze moyo wa kufanya kazi kwani wewe ni msemaji walimu?Halafu unavyosema kunausiri kwenye mishahara ya walimu ni ipi iliyowazi.Halafu unataka kuujua ili iweje wewe ndiyo matapeli ambao mnafuatilia mishahara ya watu ili mkatapeli.
 
Tatizo nini? kuwe na usiri au uwazi haijalisha,walimu wanatakiwa kusubiri had mwisho wa mwez watakacho kikuta kwenye accaunt zao ndio wataamua kupandisha au kushusha molari ya kazi,bila shaka na wewe ni mwalm bado wiki moja tu!wapo wengi wanasubiri mwisho wa mwez potezea habari za waraka kwani hazieleweki!
 
Kwani hujui kuwa mshahara wa mtu ni siri? hebu zingatia maadili kwenye hilo, si vema kila mtu ajue mshahara wako hiyo wakati mwingine inapelekea dharau hata kwa wanafunzi wenu.
 
Kwani hujui kuwa mshahara wa mtu ni siri? hebu zingatia maadili kwenye hilo, si vema kila mtu ajue mshahara wako hiyo wakati mwingine inapelekea dharau hata kwa wanafunzi wenu.

subilini mbivu na mbichi kujulikana baada ya matokeo ya mitihani ya watoto,serikali wanania ya kuchukua alama 40 kwa wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na sekondari.
 
Salaam wana JF.Poleni kwa majukumu na mahangaiko ktk michakato ya maisha ya kila siku.Mwenzenu nimekuwa na wasiwasi juu ya usiri mkubwa unaofanywa na serikali juu maslahi halali ya watumishi wa umma hasa walimu ambao mpaka dakika hii hawajui viwango vyao vipya vya mishahara kwa mwaka mpya wa fedha 2013-2014.Hali hii imewafanya walimu kupoteza molari wa kazi licha ya shule nyingi kufunguliwa mwezi huu.Si hilo tu lipo swala la malimbikizo ya mishahara kutolipwa pamoja na upandishwaji vyeo kufanyika kwa upendeleo mkubwa.Ningeomba kama kuna mwenye taarifa sahihi za waraka mpya wa mishahara mipya basi atujuze ili walimu wetu wa tz wajiandae kufanya kama wa huko Kenya.
Nawasilisha.

Masikini walimu wetu,, kilasiku wao ni watu wa matumaini ya mishara mipya na madarajaaaaa!!!.Wanavuja jasho wakati wenzao wanamega kiulaini.Najiuliza maswali mengi kuhusu hili bila kupata majibu! Hii nijeuri ya mh.Rais kitowathamin? au kunanchezo mchafu wa baadhi ya watu walioko chini yake kutoitakia mema serikali yake. Nadhan wamekamilisha mpango wa kumaliza watoto wetu walalahoi. mwaka jana walituchukulia watoto waliofaulu drs la 7 alama 70. mwaka huu watawapeleka sekondari wenye alm 40 UNGEKUWEPO NYERERE UWAKOMBOE WALIMU WENZAKO! Kila mwaka nyongeza ya mashahara elfu20 wakati kodi ya nyumba na nauli haishikiki!
 
Hv ni walimu tu walioko kwenye waraka wa mishahara mbona sekta hamzisemei...
 
hamjasubiri maisha bora kwa kila mtanzania? sasa subirini mshahara baada ya f4 kufeli sana,

kila kitu kitakaa pake
 
Back
Top Bottom