Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #21
Jamaa anajitambua hataki ushindan wa kijinga jinga usio na manufaa
Jux ni mmoja wa wasanii wa Tanzania wenye akili sana na hapendi kuweka au kuwekewa pingamizi akitaka kufanya maendeleo.
Jux ana akili sana kwa hiyo anacho jali cha msingi ni maendeleo bila kujali atakutanishwa na nani kwenye kufanya maendeleo!
Jux anacho fanya ndicho wenye akili wanatakiwa kufanya sio kukaa na kununa nuna au kulialia tuuu....