Usirogwe ukamshirikisha Diamond kwenye ngoma yako

Jamaa anajitambua hataki ushindan wa kijinga jinga usio na manufaa
 
Nilivyoona title umekosea kuandika "kumshirikisha" nikajua bahati mbaya

Nimesoma Body nayo nakuta umeboronga zaidi umeandika "kumlishilisha"

Sasa niambie we mwenyewe nikuweke kundi gaani,jichagulie mwenyewe

kabla sijafanya maamuzi yangu...
[emoji1787][emoji1787]
 
hivi una adabu kweli...
 
Nilivyoona title umekosea kuandika "kumshirikisha" nikajua bahati mbaya

Nimesoma Body nayo nakuta umeboronga zaidi umeandika "kumlishilisha"

Sasa niambie we mwenyewe nikuweke kundi gaani,jichagulie mwenyewe

kabla sijafanya maamuzi yangu...
Mkuu umeamua kunivunja mbavu [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabla hujatoa smg yako sio!?
 
Wivu ni tatizo lako mtoa mada,

#kutoa ngoma na diamondplatnuz tegemea ngoma hiyo kuwa hit na sio ilimradi.
 
kwani kuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…