Usisahau katiba mpya

Usisahau katiba mpya

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ingawa katiba inaonekana sio muhimu kwasasa lakini magumu tunayopambana nayo sasa mengi yao yametokana na mianya iliyomo kwenye katiba. Mafanikio ya awamu ya tano yalindwe na kuendelezwa kwa Katiba sio kwa kumuongezea Rais Magufuli muda.
 
Back
Top Bottom