Usisaidie masikini, acha wafe


Ila mwanzo umeanza kuwa wewe ni maskini? Unajinyanyapaa mwenyewe?
 
Kweli ni vigumu tajiri kuona ufalme wa Mungu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Wallahi dunia kubwa
 
Mkuu uko sahihi naweza tolea mfano halisi nilioushihidia 2009.

Kuna jirani alikuwa anajitahidi kupika pombe ili aendeshe maisha yake. Ila kuna jirani ambae hali ya maisha iko duni tu akawa anamuonea wivu wenzake. Asa kwa wale mnaojua utengenezwaji wa pombe za asili chumvi ni adui wa catalyst ya kilevi wakati wa kuandaa 'komba' kwa ajili ya kutengeneza komoni.
Asa huyu jirani wa pili siku akachukua chumvi akayeyusha kwenye maji akaotea akiwa hayupo akamwaga kwenye mahindi yaliyoota yaliyoanikwa ili pombe itakayopikwa iharibike yaani. Bahat nzr aliona mapema akatoa sehemu ya mahindi iliyoshika maji.

So ukicheki tabia za matajiri ni kutakiana mema ndio maana hupeana michongo ila maskini ndo kama hvyo kuharibiana
 
Huyo mwandishi anajina zuri lakini ni mjinga wa wajinga sikuwai kuwaZa mtu Mwenye jina zuri anaweza kua mjinga kiasi hiki
 
Ila kwa nilivyoelewa umasikini Ni roho na sio levo ya kimaisha , Maana kuna watu wana maisha ya levo ya chini Ila roho zao zimejawa na furaha sana kumaanisha roho zao zina utajiri ndani yake, Ila pia Kuna wenye mali nyingi Ila roho zao zina umasikini ndani yake wao hawana furaha kabisa rohoni na wamejawa ubaya nadhani unazungumzia hao.
 
Magufuli alifanya vizuri?
 


Usisaidie Masikini, utakuja kunishukuru.

Hayo ya wazazi ni wajibu wao, Mimi ni sehemu Yao Kama vile watoto wangu watakavyokuwa sehemu yangu.
 


Waafrika wengi tuwanafiki.

Ukitaka kujua, angalia kwenye comment za Uzi huu.

Wote watakaoupinga wengi ndio wenye roho mbaya, wachoyo, na wadhulumaji lakini hapa watajifanya wanaroho ya kutoa msaada.

Na wengi ni masikini wa Mali, roho, na akili
 
Ushetani mwema una dini kweli wewe unaijua hatima yako ya baadae unafunga na kutoa dhaka wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…