Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #221
Hayo ni maneno ya Mungu mkuu,siyo hadithi.
Labda hizi zako ndio hadithi.
Ushetani mwema una dini kweli wewe unaijua hatima yako ya baadae unafunga na kutoa dhaka wewe?
Tuanze na Taifa letu ambalo ni maskini kwa nini lisijikomboe kuwa tajiri, kwa nini mataifa yaliyokuwa kama sisi mfano China, Philipines, Malasyia n.k yamejikwamua na sisi bado?
Nimeanzia huko ili kukufikirisha mtoa mada katika fikra pana. Maskini anatakiwa kutoka katika umaskini na njia za kumtoa ni kumsomesha, kumpa kazi au msaada, nje ya hapo umaskini utazidi na Taifa litashindwa kwenda mbele
Sikubaliani na ulichokiandika hata kidogo
Yesu alilaaniwa na nani maana alikuwa maskini pia?
Hiyo laana alipata wapi?Kama alikuwa masikini basi alikuwa yupo chini ya laana.
Maandishi mengi ila ni bumbaa
Hiyo laana alipata wapi?
Nakuuliza kwakuwa naamin umeandika kitu unachokijua,kimsingi laana haihusiani na uchumiUnaniuliza Mimi tena.
Mtu akishakuwa mgonjwa sio kazi ya Doctor kujua amepata wapi huo ugonjwa.
Ila atasema tuu ugonjwa huo unasababishwa na kitu Fulani.
Laana na baraka vyote vimewekwa na Mungu
Ndio yeye alikuwa rais ni wajibu wake kutujaza mapesa kwa mujibu wa katiba kwenye 25th ammandmentsHakufanya vizuri kwa sababu wewe ulitaka akujaze hela mfukoni kama alivyokuahidi Lisu akiwa rais!
Nakuuliza kwakuwa naamin umeandika kitu unachokijua,kimsingi laana haihusiani na uchumi
umesema umasikini sio mpango wa Mungu ,, alafu ukaja kusema hyo laana ya umaskini katoa Mungu uoni Bangi uliyovuta inakudhuru
Nieleweshe kwanza mkuuUnajua kwanza maana ya Laana??
Basi endelea kukaa hapo kwa shem wako Samia atakujaza mipesa teleNdio yeye alikuwa rais ni wajibu wake kutujaza mapesa kwa mujibu wa katiba kwenye 25th ammandments
Nakuuliza kwakuwa naamin umeandika kitu unachokijua,kimsingi laana haihusiani na uchumi
Mkuu ukimkopesha Mungu kwa kusaidia masikini lazima Yeye(Mungu) akulipe,hawezi kukutapeli.Sawa,
Sipo hapa kubishana.
Hakuna utakalopata ukimsaidia Masikini.
Sio Duniani wala Kwa huyo Mungu unayemtaja hapa.
Masikini wapo ili waendelee kuumizwa, kuteswa, na kuonewa. Hawapo ili wasaidiwe.
Ukiwasaidia basi jua unapambana na nature, hautabaki salama.
Huamini basi saidia masikini ujionee
Mkuu ukimkopesha Mungu kwa kusaidia masikini lazima Yeye(Mungu) akulipe,hawezi kukutapeli.