Usisaidie masikini, acha wafe

Hii laana haitaisha kwa baadhi ya watu hata wapelekwe wapi

Sielewi kama rangi pia inachangia au ni coincidence tu
Angalia kwa mfano Haiti mji wao miaka ya nyuma ulikuwa na watalii kibao baada ya wazungu kutengeneza mji wa kitalii kwenye beach nzuri
Sasa hebu angalia hao ni watu kutoka west Africa na moja ya imani zao ni voodoos kila kona
Uchawi, uchafu, wizi, ndio kila kona
Sio wao tu sehemu nyingi umasikini unachangia tulivyo

Hata Wahindi walichukuliwa kama wakulima na kupelekwa Australia miaka ya1800 lakini leo wao ndio matajiri wakubwa kila walipokwenda hata Africa

Lakini maskini atasema walikuja kuiba mali zetu au wanatuibia sana ila yeye akiona hata kijiko haachi

Kweli hapo umeelezea ukweli wa umaskini na maskini alivyo
 
Amevurugwa sana muanzisha uzi, yaani jamaa kavurugwa kwa kiwango cha shetani haswa. Mkiwa mnavurugwa muwe mantulia kidogo kabla ya kuanza kuandika maana ulichoandika ni kitu ambacho hakikubaliki. Unajuaje kwamba wewe ni tajiri, pengine mbele ya watu matajiri duniani wewe ni masikini tu. Chukua tahadhari!
 


Mkuu Nashukuru Kwa mchango wako
 


Vyovyote iwavyo, usemavyo,.
Masikini usimsaidie isipokuwa kunafaida unaipata unapomsaidia
 
Laana maana yake ni nini?
Sina jibu la moja kwa moja nachofahamu inahusiana na mambo ya kiroho zaid mfn mikosi,lakin umaskin ni jambo la kimwili,kwaiyo sioni uhusiano wa laana na hali ya uchumi ya mtu, ndio sababu nikauliza mbona Yesu Kristo hakuwa na laana yeyote wala dhambi yeyote lakin alikuwa maskini?
 
Huyo masikini aliyeuza ng'ombe il amloge mtu labda kichwa kimejaa matope badala ya ubongo. Si angetumia hiyo pesa kwa biashara?.Lakini masikini na tajiri nani mwenye roho mbaya zaidi.
 
Kumbukumbu la Torati 15:11 wewe wasemaje?
 
Naungana na wewe unaposema maskini lazima apambane mwenyewe kujitoa katika umasikini na sio kusaidiwa. Kuna watu walikua wanapata vipato vya chini sana lkn kupitia vipato hivyo hivyo walifanikiwa kutoka katika umaskini, lkn kuna mwingine anasubiri asaidiwe ndo atoke. Wewe unayepambana kuwasaidia masikini tambua chance ya wewe kushuka na kuungana nao kwenye umasikini ni kubwa sana

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Oooh. Nimekuelewa
 


Naam Mkuu. Upo sahihi
 
Nipo tayari Mkuu na ndio maana nimeuweka hapa.

Ila hiki nilichoandika ni kitu kikubwa ambacho kukitambua yakupasa utumie zaidi akili kuliko hisia.

Huwezi msaidia masikini ukabaki salama.
Labda umsaidie ili nawe ujipatie faida kutoka kwake
Unapotenda wema basi jua siku moja utakurudia kwa namna usiyoitegemea.


Mimi nimetumia Neno la Mungu mkuu ambalo ndilo amini na kweli.
Wewe ndiye umetumia hisia zako.
 
Umejibu vizuri sana, sema unatakiwa uelewe kwamba Uyatima sio umaskini. Kuna watu ni yatima lakini ni matajiri.
 
Kama ujawa masikini kimwili ni lzm uwe masikini kiroho kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…