Usisaidie masikini, acha wafe

Taikon wa fasihi.
Mbona wazungu wanawasaidia Sana waafrika na wanazidi kubarikiwa zaidi.Maana baraka za Mungu ni kama koki ,ukiwasaidia masikini Umemkopesha Mungu nae atakulipa maradufu.Thus wazungu wanabarikiwa zaidi
 
Uliona wapi tajiri anaajiriwa,ajira zote ni za watu masikini.
Matajiri wengi walikuwa ni masikini.
Labda kwenye uongozi nakubali,tumeona vituko vya Sabaya bashite jiwe walitumia uongozi kuwatesa watu wakiamini umasikini wao utotoni uliletwa na matajiri.
 
Ndio

husikii alivyowaambia kesho yake, aliwaambia mmekuja leo tena kwa sababu ya chakula na sio neno la Mungu, yaani jana kwa vile walipewa samaki na mkate ndio maana siku iliyofuata wakaongezeka maradufu.
Hawa kina gwajima na kina mwamposa wangeanzisha na vyuo vya ufundi wakatoa elimu bure wangepata masikini wengi sana makanisani hivyo kupitia sadaka wangetajirika zaidi.
Hivi Kwann padri au viongozi wa dini wao huwa awatoi sadaka?
 
Kama ujawa masikini kimwili ni lzm uwe masikini kiroho kwanza.
Yesu alikuwa maskini kimwili na hakuwai kuwa maskini kiroho,kwaiyo hoja yako sio sahihi,mfn mwingine Maria mama yake yesu pamoja na yosefu mme wake walikuwa maskini kimwili ila matajiri kiroho,lazari rafik ya yesu yule aliyefufuliwa alkuwa maskin kimwl ila tajr kiroho,
 
Mwenye nacho anaongezewa asiyenacho ( maskini) hata kile kidogo atanyan'ganywa.

Wema wako unaweza kukuponza yaani unamsaidia maskini alafu anakuibia kweli umaskini ni laana.
 


Ohooo!
 
Taikon wa fasihi.
Mbona wazungu wanawasaidia Sana waafrika na wanazidi kubarikiwa zaidi.Maana baraka za Mungu ni kama koki ,ukiwasaidia masikini Umemkopesha Mungu nae atakulipa maradufu.Thus wazungu wanabarikiwa zaidi

Wazungu hawa hawa majizi au Wazungu wapi Mkuu??

Msaidie masikini pale unapoona unapata faida.
 
Kwenye maisha isikilize sauti ya ndani isemavyo!!!kama ikisema saidia we saidia ikisema hapana acha hata kama anashida kweli!!kuna watu nimesaidia wamenifedhehesha na kunitia aibu sana!hata sitamani kuwaona tena!!!
Pole kaka! Inafanya watu kuwa 'wakaksi'.
 
Biblia ktk kitabu cha 2Wakorintho 8:9, inasema;
Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwa Umaskini wake ninyi mpate kuwa matajiri.
Uko sahihi ndugu Robert, labda kwa mtu ambaye hayajui Maandiko. Bwana Yesu Kristo alikuja kutukomboa wanadamu na LAANA. Umaskini umo ndani ya Laana, hivyo, ni laana kama unavyosema.
Naamini Umaskini unaoongelewa nawe Robert ni ule wa Kipato. Ni Umaskini mbaya sana hakika. Tuuchukie kwa nguvu zote. Mwenyezi Mungu anataka tuwe Maskini wa roho. Una faida kubwa kwani utakusaidia kukupa njaa na kiu ya kuutafuta Uso wa BWANA Mungu kwa Bidii; Na hatimaye utafuzu kuingia rahani Mwake mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…