Usisaidie masikini, acha wafe

Hawa kina gwajima na kina mwamposa wangeanzisha na vyuo vya ufundi wakatoa elimu bure wangepata masikini wengi sana makanisani hivyo kupitia sadaka wangetajirika zaidi.
Hivi Kwann padri au viongozi wa dini wao huwa awatoi sadaka?
Kwasababu wao wamejitoa sadaka kuacha kazi ili wewe wakuandalie vya rohoni halafu wewe uwape vya mwilini!

Sadaka huja kwa kazi au kipato
 
Hii Ina mhusu systeme yooote
 
Sio kila yatima Ni MASKINI bali Kuna MASKINI yatima.ILA KUNA UKWELI KUMBUKA usemi huu wa wahenga " MASKINI AKIPATA .......HULIA MBWATA.
 
Post za kipuuzi kama hizi yan nizakublock kama inawezekana ..shame on you
 

2.
 

3.
 

4.
 
Najiweka kwa matajiri maana ukijinenea ufukara nature Ina respond ulichotaka so I'm rich and striving hard, nauchukia umaskini wa kimwili n kiroho pia always nawaza yaliyo mema, hata kuchukia wengine ni sadists behavior na ni roho ya kimaskini pia

5.
 

6.
 
Pole sana mkuu.Mwambie huyo maskini aliyekukopa akurudishie hela zako atupunguzie kelele humu.Kwanini akudhulumu hivyo lakini jamani?!unaongea kwa uchungu sana maskini!😩
 
What a wonderful article[emoji116][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…