Usisaidie masikini, acha wafe

Jana asubui nimpe elf 1000 bibi kizee ombaomba jioni nimepata elf 20 bila kutegemea. Nisingesaidia nisingepata.
Mimi ombaomba kijana Katu sisaidii.
 
Heading ingefaa tenda wema nenda zako usingoje shukrani.
 
Hata wewe ipo siku.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 

Ni hao hao tu, hapo utofauti majina tu
 
Mkuu well said [emoji123]
 
Jana asubui nimpe elf 1000 bibi kizee ombaomba jioni nimepata elf 20 bila kutegemea. Nisingesaidia nisingepata.
Mimi ombaomba kijana Katu sisaidii.

Hizo ni hisia zako tuu ambazo wengi huziita Imani.

Imani ni uhakika wa mambo yatarajiwayo, hayana Kwa yasiyoonekana.

Ulimsaidia huyo Bibi Kwa kuwa na Imani utapata elfu 20? Jibu ni hapana.
Ulifanya Kwa hisia za huruma na wala sio Imani.

Wengi mnachanganya Imani na mihemko
 
Watu wanajitahidi kuondoa inequality wewe unaleta stereotype unazijua mwenyewe,unajua madhara ya kuwa na watu wachache wenye utajiri na nguvu kwenye humanity?
Na chakushangaza anaeongea hapa ni mwafrika mweusi from sub-saharan countries ambapo umasikini umetawala. Umesahau kwamba hata wewe ni masikin unless labda uwe mjukuu wa qeen Elizabeth and other previlege family, unaletewa chanjo ,elimu, wangeamua kuwapa matajiri tu hata wewe usingesurvive, usiseme tuwachukie masikini sema tutafute njia ya kunyanyua kutoka chini waweze kujitegemea sio kuwapa hela ya Kula siku moja halaf inataka kulambwa miguu ,hapo hujamsaidia unaendelea kumfanya awe tegemezi. Wezesha kile wanachokifanya ukipeleka matrekta kuwezesha kilimo Kijiji Fulani utakuwa umewasaidia Sana na hawatarudi kuomba Tena kwako,sio unampa jero ati akanywe pombe alafu unajiona Mungu mtu.
 
Mabeberu wanawapa madawa chanjo na bado mnawatukana lkn hawaachi, unatakiwa uangalie great cause sio emotional satsfication,km unamsaidia mtu ili akunyenyekee umfanye chawa bora uache tu,wanaotoa msaada wengi wanaangalia impact to humanity sio individual personality ya unayemsaidia,
 

Mimi ni Masikini lakini haiondoi ukweli kuwa Masikini hastahili kusaidiwa. Acha wateseke na wafe ili akili iwakae vyema.

Hayo mambo ya Stereotypes sijui inequality uliyosoma shuleni yatumie ujikwamue na umasikini ulionao Ila kusaidia Masikini Kwa kweli no kujichimbia kaburo mwenyewe. Tena Masikini wenye mtizamo Kama wako wanaodhani binadamu wote ni SAWA.

Binadamu sio Sawa na hawatakuja kuwa Sawa.
 


Hakuna Tajiri anayehitaji unyenyekevu wa Masikini. Kwani unamsaidia nini huo unyenyekevu?

Unajua Masikini wanaakili za ajabu Sana.

Kinachokufanya uwe mnyenyekevu ni umasikini wako.
Na wala sio unyenyekevu Bali unafiki wa kimasikini ili upewe msaada, alafu ukishaupata unaonyesha Rangi zako halisi😀😀😀

Masikini wengi hawana unyenyekevu isipokuwa unafiki.

Mnyenyekevu ni mtu mwenye hadhi ya juu ambaye ameamua kujishusha na kuishi maisha ya kawaida pasipo kujikweza.

Sasa Masikini anamaisha ya chini atajinyenyekezaje ilhali yeye yupo chini?
 
Watu wenye mentality za kimasikini ndio wasisaidiwe,waliofanya mapinduzi ya kiteknolojia km einstern na Tesla waliwezeshwa unafikiri Kila mtu amezaliwa tajiri unaweza kuwa na idea Ila ukashindwa kufund ili uapply to reality,hapo matajiri wenye mentality za kitajiri ndowatajua faida ya kumsaidia masikin. Maana ukimsaidia mwenye mentality za kimasikini utaishia kutoa product km za mtoa mada maana mat**ko yashaanza kulia mbwata
Masikini akipata.............?
 
Kumsaidia masikini ni kumkopesha Mwenyezi Mungu nae atakulipa mara nyingi. Waafrika ni masikini sababu awatoi kusaidia. Weupe wanaijua kanuni hii, wanatusaidia Ili wapate baraka
 

Sasa hapo unachambua Aina za umasikini Mkuu
 
Kumsaidia masikini ni kumkopesha Mwenyezi Mungu nae atakulipa mara nyingi. Waafrika ni masikini sababu awatoi kusaidia. Weupe wanaijua kanuni hii, wanatusaidia Ili wapate baraka

Hakuna Tajiri wa kizungu anayekusaidia bila ya kupata faida.

Kanuni yasema; MPE kumi upate mara kumi(yaani Mia moja) Kama huelewi Basi.

Tangu lini Mzungu aliisadia Afrika, naomba unipe somo
 
Kumsaidia masikini ni kumkopesha Mwenyezi Mungu nae atakulipa mara nyingi. Waafrika ni masikini sababu awatoi kusaidia. Weupe wanaijua kanuni hii, wanatusaidia Ili wapate baraka


Hakuna kitu Kama hicho Mkuu.

Wajibu wa binadamu ni kumuabudu MUNGU.
Ukimuabudu Mungu huwezi kuwa Masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…