Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela wanazochangiwa masikini kila mwaka zingetosha kuibadili hii dunia kuwa paradiso
Baada ya kuwalish walimfanyaje?Kwahiyo Yesu asingewalisha wale walalahoi 5000, angewaacha wafe njaa si ndio?
mzee umetudanganya.yule lazaro alikuwa anakula makombo mlangoni kwa tajiri mmoja lakini mwisho wa siku Lazaro alienda mbinguni na tajiri motoni.mimi kwenye kuoa masikini naoa tuuu
Baada ya kuwalish walimfanyaje?
Wewe una roho ya korosho kama Magufuli, reference ya maafa ya Kagera na njaa ya Geita.Ndugu yangu, hata umuone masikini anakufa njaa hapo usimsaidie, muache afe, jitie kihere here kumsaidia yatakayokupata mimi simo.
Ni bora umpe hicho chakula mbwa wako usiku atakulinda. Bora uwape kuku hicho chakula utakula mayai yake. Lakini sio masikini, masikini kumsaidia ni kumsaidia shetani.
Yesu alizaliwa ktk mazingira duni na kuishi ktk maisha duni. Alikaribishwa nyumbani kwa Mfarisayo kwa ajili ya kalamu (chakula). Inamaana Mfarisayo alimkaribisha shetani?Huwezikuta tajiri anamualika masikini nyumbani kwake. Matajiri wanajua kumuita masikini nyumbani ni kumkaribisha shetani ndani ya nyumba, mikosi na mabalaa yataandama nyumba hiyo mpaka wakome.
Pamoja na yote hayo, jambo moja tu nikurekebishe, YATIMA sio maskini, huyo ni mtu aliefiliwa na mmoja ya wazazi wake ama wote.bila kukupesa watu masikini wakutupwa wakipewa nafasi huwa wanafanya maajabu makubwa sana katika taasisi na nyanja mbalimbali, hata mashuleni fuatilia vizuri utaona mayatima wanavyoperform vizuri sana na wana nidhamu ya juu sana....
Naona umefananisha umasikini na ushamba kwasababu ukimsomesha mtu mshamba na akajanjaruka, ataanza kweli kuwa na tabia za ajabu, lakini ukimsomesha masikini atakulipa fadhira na ataweka mazingira yawewe kuendelea kumuamini....
Nimejibu kwa kuzingatia muktadha wa mada, ila najua unaweza kuwa umemaanisha vitu vingine kabisa kama fasihi inavyokupa uwanda mpana......
Yule asiyejua kuongea kingereza kwa ufasaha pamoja na kuwa na level ya juu kielimu ni maskini au tajiri ?
Sikubaliani na falsafa yako mkuu
Na matajiri. Kwani huoni mabakuli yakitembezwa Ulaya?Hahaha! Wanachangiwa na masikini wenzao siyo?
Maskini ni kweli ana roho mbaya, tajiri apatapo huwa ni chukizo kwake,Tuombe uzima, utakubali siku moja. Utasema Taikon aliwahi sema hii.
90% masikini ni shetani
Waulize waliowasaidia watakuambia
Msaidie masikini ukiwa na lengo la kupata faida utabarikiwa, lakini ukimsaidia ati kwa nia njema utalaaniwa, maana lazima utalalamika tuu ubaya atakaokufanyia
Wewe una roho ya korosho kama Magufuli, reference ya maafa ya Kagera na njaa ya Geita.
Yesu alizaliwa ktk mazingira duni na kuishi ktk maisha duni. Alikaribishwa nyumbani kwa Zakalia (kama sijakosea) kwa ajili ya kalamu. Inamaana Zakalia alimkaribisha shetani?
Maskini ni kweli ana roho mbaya, tajiri apatapo huwa ni chukizo kwake,
mkuu umeandika kitu kikubwa sana mungu akubariki nimesaidia watu wengi sana ila waliiishia kuni snitch umaskini mbaya sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ilikuaje mzeemkuu umeandika kitu kikubwa sana mungu akubariki nimesaidia watu wengi sana ila waliiishia kuni snitch umaskini mbaya sana
so waliozaliwa katika familia masikini ila wakatajirika baadae nao still ni maskiniMasikini ni masikini hata awe bilionea.
Umasikini ni tabia aseee
so waliozaliwa katika familia masikini ila wakatajirika baadae nao still ni maskini