Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
so umasikini ni tabia na sio ukosefu wa helaTabia zao zitajibu swali lako Mkuu
tuelezee simu gani/magari gani masikini wanapenda kutumia?Tabia zao zitajibu swali lako Mkuu
asante mkuu nilimaanisha yatima wanaokaa kwenye centres za kusaidia yatima....asante pia kwa marekebishoPamoja na yote hayo, jambo moja tu nikurekebishe, YATIMA sio maskini, huyo ni mtu aliefiliwa na mmoja ya wazazi wake ama wote.
Ona maswali ya maskini....anatafuta tu mapungufu ya wengine na sio mazuri ya wengine, wewe ni maskini wa JF kama nilivyo mimi!Yule asiyejua kuongea kingereza kwa ufasaha pamoja na kuwa na level ya juu kielimu ni maskini au tajiri ?
hahaha masikini wanavyojifariji unadhani hata mwenye pesa hawezi kujijali afya yake ...kila kitu ni maamuzi tu...hata maskini ukijifanya maskini jeuri kua haujijali afya yako sababu wewe ni maskini ...utakwenda na maji tutazika na kusahauSawa babu
we tuache sisi masikini
sisi hatujui na hatujawahi kusikia kitu kinaitwa ugonjwa wa moyo, ugonjwa wa kisukari, saratani, upungufu wa nguvu za kiume, hatuzai kwa sindano wala mkasi, tunadunda tu