Usisaidie masikini, acha wafe

sijasoma lote hili ila.umegeneralize sana
maskin utajir ni hali za baina na baina zinazotegemeana.amma husda uchawi hizi ni personal traits zipo tu
 
Mkuu unajua mtoto anaweza kuzaliwa akiwa na laana ya wazazi ama ukoo wake?laana inaenda kwa vizazii na vizazi, hapo itahitaji ukombozi
 

hakika,nami nilitaka kumuuliza mleta mada,umasikini ni nini kwa tafsiri yake!!!??

maana kama umasikini ni rangi ya shetani,bible imeandika "ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni"
hapo tunaona kwamba utajiri maana yake ni kujilimbikizia mali kuliko wengine,inawezekana umedhurumu za wengine,unazuia zisiende kwa wengine,ama unaiba za wengine.lakini tafsiri yake ni kwamba haina maana kujidai una pesa huku kuna wenye uhitaji wanakuzunguka.

maana yake ni hivi,utajiri unaozungumzwa ni wa kiMungu ambao kimsingi ukiufata unakuwa masikini kidunia.yaani ule utajiri wa roho(uzungu)uwezo wa kutoa ulicho nacho haijalishi ni kiasi gani.sio usubiri mpaka uwe na kingi.
 
Endapo mwandishi angeainisha aina za umaskini ingemuwia frika zake kueleweka kwa kutokuchanganya umaskini wa mali na umaskini wa utu.

Ifamike umaskini wa utu mtoto hujifunza kutoka kwa wazazi wake
 
Endapo mwandishi angeainisha aina za umaskini ingemuwia frika zake kueleweka kwa kutokuchanganya umaskini wa mali na umaskini wa utu.

Ifamike umaskini wa utu mtoto hujifunza kutoka kwa wazazi wake

Masikini 90% hawana utu
Matajiri 90% wana utu

Fanya Utafiti ukuje hapa,
 
Mada yako Ina ukweli maskini wengi Wana roho mbaya ya chuki, wachawi wao, wasengenyaji wao, walipa visasi, hata jehanamu watakuwa wengi, naichukia umaskini ngoja nifanye kazi kwa bidii umaskini ni laana mbaya
hayo uliyoyataja ni tabia ya mtu tu eiza awe tajiri au maskini
 
Umasikini ni perception.Alietengeneza pesa alituweza waafrica,zile zama za kulima ule imepotea kabisa...natural food wanakula kyela huko-mijini full of artificial.
Mjini kuna mtu hujawahi tembea 1km Mwaka sasa=obesity=hypertension=diabetic=stress=loss of libido##mundende-congo dust-kubust makalio&boobs-kurudisha umbile liwe kama la mtoto,kurefusha umbile-alimradi vurugu tuuuuu.
Eee Mwenyezi Mungu tusaidie waja wako.
 
Maskini ya Mungu ...😁😂🤣
Sijasona hata nikamaliza😪😫
Maskini tunasemwa Sana ...jamini
Maskini ivi tulitoka nchi gani

Mleta mda mbona unafundisha watu uchoyo namna hiyo, saidia wenye matitizo mkuu...
Pesa haijawai mzika mtu atakama unazo benk ,wale vijana wa wasio na ajira ndo
watachimba kaburi lako Tena bure ili tu wapate iyo sufuria moja ya kande jeupe,
Maisha hakuna tajiri labda tu uamue kurizika

Ila wa Tz uchaguzi umetuchanganya Sana asee
Yaani Mansa Mussa na utajiri wake aligawa Mali huku akitembea Hadi njia inafunga kwa wingi wa watu

Fare...
ken
 
Thread, comments za waja Ni presha tupu , naimani na kitu kimoja tu kujituma na kuwa na nidhamu na kile kidogo upatacho utawrza tatua matatizo ya matusi yote hayo. Masikinu wenzangu tusikate tamaa kwa matusi yanayoporomoshwa.

Vyovyote vile tafuta ridhiki yako pia uiheshimu. Ni hayo tu
 
Ona maswali ya maskini....anatafuta tu mapungufu ya wengine na sio mazuri ya wengine, wewe ni maskini wa JF kama nilivyo mimi!
Mbona Muhuni Polepole Kama Kasha Waka Hivi tena Kapiga Konyagi kama Sio K Vant au Safari Ndio Inatabia ya Kukufanya Uhisi Lips Nzito au Zinavuja..
Heri niendelee kuwa mlevi wa Pisi Kali mim Dr. Love

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…