Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueKOSA KUBWA SANA TENA SANA...unakua kama ulikuja duniani kusindikiza watu tu
Mkuu unajua mtoto anaweza kuzaliwa akiwa na laana ya wazazi ama ukoo wake?laana inaenda kwa vizazii na vizazi, hapo itahitaji ukomboziSema ukiangalia watu ambao hawajapiga hatua ni wafitinishaji, wanaroga, wivu, wagombanishi, wajuaji, wanadharau wanajiitaga wao masikini jeuri, wana viherehere, yani muda mwingi wana , ukiongea nae muda mwingi anakistukia kama una mdharau,kwa kuwa hawana shughuli wanayofanya ni wasengenyaji wanapenda kuwasema watu vibaya ni wambea nk
Ni tabia iliyomo ndani mwao lakini silinganishi hiyo ni laana, Mungu hutupenda sisi sote na ndiyo maana akatuumba hawezi kutubagua, asili ndiyo imetufanya kuwemo wenye nacho na wasionacho wenye akili na wasionazo hatuwezi fanana kila kitu kuna watafutaji na wavivu sasa wavivu ndiyo wanaangukia kwenye umasikini, hizo tabia za masikini walizonazo ni kutokana na tabia tu zao za makuzi waliyoyapitia katika jamii au familia wanazoishi
Nami nimehisi hivyo hivyoHii bangi umevuta inatoka meru hii.
Madhara ya kukoment bila kusoma madaAisee umeandka sana,inaonekana wew sio masikini
Tafsiri ya maskini hajaipambanua vizuri sababu tabia alizoainisha zina reflect limbukeni by 100% ila umaskini unaanzia katika nafsi!
Wapo watu ni millionaires ila ndugu zao wanateseka na maisha ambayo ni very basic!
Ukiniuliza tafsiri ya mtu maskini nitakwambia ni yule mwenye roho ya choyo na husda! Huyu hata akiwa billionaire huwezi ona impact yake kwenye jamii ila mwenye roho ya kitajiri ni kinyume impact huanzia tokea kwenye level ya familia,ukoo mpaka kitaifa.
Endapo mwandishi angeainisha aina za umaskini ingemuwia frika zake kueleweka kwa kutokuchanganya umaskini wa mali na umaskini wa utu.
Ifamike umaskini wa utu mtoto hujifunza kutoka kwa wazazi wake
hayo uliyoyataja ni tabia ya mtu tu eiza awe tajiri au maskiniMada yako Ina ukweli maskini wengi Wana roho mbaya ya chuki, wachawi wao, wasengenyaji wao, walipa visasi, hata jehanamu watakuwa wengi, naichukia umaskini ngoja nifanye kazi kwa bidii umaskini ni laana mbaya
Maskini wengi ndio Wana roho mbaya hufurahia majanga ya wengine, hufurahia kuzalilisha wengine, hawana utu pia, matajiri hawana Mambo ya kijinga jingahayo uliyoyataja ni tabia ya mtu tu eiza awe tajiri au maskini
Kwani kijijini ndio wanatoka masikini? Tembea kwanza halafu urudi hapa kukomenti.Kuoa masikini ni sawa na kuoa dhetani[emoji3][emoji3][emoji3] Mimi ntaoa kijijini then ntasikilizia nione haya unayoyasema kama yatatokea
mostlyKwani kijijini ndio wanatoka masikini? Tembea kwanza halafu urudi hapa kukomenti.
Mbona Muhuni Polepole Kama Kasha Waka Hivi tena Kapiga Konyagi kama Sio K Vant au Safari Ndio Inatabia ya Kukufanya Uhisi Lips Nzito au Zinavuja..Ona maswali ya maskini....anatafuta tu mapungufu ya wengine na sio mazuri ya wengine, wewe ni maskini wa JF kama nilivyo mimi!