Usisaidie masikini, acha wafe

Jiwe alikuwa maskini na kukulia kwenye ufukara kapewa sasa nafasi muangalie alivyo na ROHO MBAYA MUUAJI NA MTESI.
 
What ur , target , utajiri ni Afya imara na God fearing

Jpm is cruel not deu to his foundation came from the poverty cycle, is cruel due to He hasn't God fearing and not poverty.
 
Noted ebu muone Jpm
 
Hsahahahhaha

Japo sijapendezwa lakini huo ndio ukweli
Ila kweli maskin wentu tu walalamishi wachonganish wanafiki kila linalotokea kwetu tunadhan kuna mtu katusababishia hatupendi kukili kua ni makosa yetu ukifatilia tabi tabi Za waafrica wengi ndo utajua ila ukweli mchungu na wanaopinga bandiko lako yawezekana ni umo umo
 
We ndo ulikuwa wa kumshauri mtoa mada kabla hajaandika. Water Rodney kwenye How Europe underdeveloped Africa, kiasili wote tulikuwa Hali sawa.
 
Wewe unajiweka kwenye kundi la Matajiri?.. Yaani hao masikini wewe umezidi Nini?
Najiweka kwa matajiri maana ukijinenea ufukara nature Ina respond ulichotaka so I'm rich and striving hard, nauchukia umaskini wa kimwili n kiroho pia always nawaza yaliyo mema, hata kuchukia wengine ni sadists behavior na ni roho ya kimaskini pia
 
Najiweka kwa matajiri maana ukijinenea ufukara nature Ina respond ulichotaka so I'm rich and striving hard, nauchukia umaskini wa kimwili n kiroho pia always nawaza yaliyo mema, hata kuchukia wengine ni sadists behavior na ni roho ya kimaskini pia
SAFI.
 
Jamaa kachemka huyo, anataka kusema waliozaliwa na hekima, busara na ustaarabu wote wametokea ktk familia za kitajiri pekee.

Hajui kuwa kuna tofauti kati ya character na behavior, hahaaa... mi nimeamua kumpuuzia tu sababu naona kaja na majibu kabisa 100% na kila anayempinga anamkatalia.

Vipi yule waziri yule waziri wa Italy aliyekuwa na sexual scandals na yule binti hadi alishtakiwa naye alikuwa maskini?

Je The U.S.A President Bill Clinton kuhusu matatizo yake ya ubakaji n.k naye alikuwa maskini?
Bill Clinton sexual assault and misconduct allegations - Wikipedia

Matajiri wenyewe ukiwafatilia sana wana siri nzito sana jinsi walivyopata mali zao japo siyo wote.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Yote ni ubatili iwe utajiri au umasikini.
Ipo siku yaja wote tutakuwa chakula cha funza,tupendane tu kwa namna yeyote ile.
 
Kajisahau sana bila ya kujua wapo matajiri wa roho walioumbwa na Mungu ambapo wakiwa nacho chochote lazima wawagawie maskini na ndiyo furaha yao la sivyo hata hawaenjoy maisha ya kujilimbikizia mali na vitu vya kifahari hapa duniani.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unajiweka kwenye kundi la Matajiri?.. Yaani hao masikini wewe umezidi Nini?
JF kuna waigizaji we acha tu, hapa kila mtu atakuwa tajiri, sawa na mada iwageukie kuwasifia waliosoma elimu dunia basi utashangaa kila mtu atayeandika ujumbe humu ataishia kujinadi ni msomi tu hahaaaa....

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…