Nimesikia,nimecheka mpaka mbavu zimeuma,
Umeongea Mengi,ila na uongo umeweka mwingi,
Kwanza hakuna mtu anazaliwa maskini,au tajiri,wote tunazaliwa tukiwa hatuna kitu,hata ukizaliwa kwenye familia ya Raisi,haimaniishi hizo mali ni zako.
Pili umaskini sio kilema,tunazaliwa maskini,lakini baadae unaweza kuwa tajiri.
Nikuulize Diamond alizaliwa maskini,sasa hv na ukwasi wote alionao Bado ni maskini?
Kinachomfsnya mtu maskini awe natabia katili,kijicho,kupenda kuona wengine wakiumia,ni msongo wa mawazo tu,hujiona yeye hana kitu,kwahiyo akiona wengine wasio na kitu,huona faraja,lakini sio wote,wapo watu maskini,hawana kitu,na Wana tabia njema sana,wanachapa kazi ili siku moja watoke kwenye umaskini.
Wapo marajiri wengi tu wenye tabia za kishetani,alikuwepo kada mmoja wa ccm,alikuwa na kiwanda Cha kutengeneza ARV,akawa anatengrneza ARV feki na kuziuza,unajua ameua watu wangapi.