Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anasema hivi: mwanaume kuitwa mwanaume sio sababu ya maumbila, ni sababu ya msimao wakeSijakuelewa unamanilisha nini?
duh hii haieleweki sijui tuamue kulingana na mwendelezo au
kasema wanaume wawe na msimao!
msimamo juu ya nini maana naona iko hewani sana