La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
Habari za weekend wakuu.
Kumekuwa na kamsema ambako kanaashiria hali ngumu ya maisha "vyuma vimekaza" lakini kuna watu bado wanatumbua maisha kama kawa.
Kwahiyo basi nashauri kila mtu akiona hali yake ngumu asiseme "vyuma vimekaza" bali "vyuma vyangu vimekaza". Uki generalize kuna wengine wanakwazika.