Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi hapo kwenye sex beach ndio sijaelewa vizuri
NENO WALAHI
Hata mimi hapo nimetoka mweupeMi hapo kwenye sex beach ndio sijaelewa vizuri
Mi hapo kwenye sex beach ndio sijaelewa vizuri
Wahudumu wa Samakisamaki Wazuri aiseeee siyo kama wa Bar zilizochokaHata niwe na billion 100 mi hizo sehemu sipendi kwenda kwakweli labda niwe na demu wangu amelilia najua akijitahidi kanywa Heineken 6 .. Mimi ni Mzee wa bar .. Muhudumu kumshika matakp na vituko vingine bia 1500 bei elekezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yenye risit ipoo..kama unaitaka semaMmeambiwa hiyo sio Risiti ..... Huyo ni mfanyakazi wa Hapo kaamua kuitengeneza, na kwa akili yake ya ujanja ameshindwa kuiprocess akijuanikifikia hatua ya Risiti atalazimika kulipa.
Aweke Risiti yenyewe kama kweli ni mtumiaji ivo.
Mnamacho hata hamuoni??? fanyen picha kua sehem ya kazi ya Falsafa !!!
Mi hapo kwenye sex beach ndio sijaelewa vizuri
Hiyo ni cocktail, maarufu kwa hilo jina!
Aisee,, basi mimi nilenda mbali sanaHiyo ni cocktail, maarufu kwa hilo jina!
Maji ni chupa 9 za dasani...Hii nadhani ilikiwa party fulan na watu wasiopungua kumi na nane nimeangalia hapo kweny bill ya maji nikaimagine wote walichukia maji makubwa 18..
Ahahaahaa akili yang naijua mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye lugha ya malkia, andika tu Kipogoro!Mtaji wangu wa kuku mtu ananywea Pombe ambayo hadi saizi imekwisha au ana hangover anatapika nyongo.. GOD'S your not fear at all
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha kuna kipindi nilikuwa nafanyakazi kwenye bar fulani ndani ya hotel. Kuna makampuni huwa wanafanya training kwahio weekend huwa wanakuja kunywa kwa 'TAB' ya kampuni....yaani wanachukua tu bill unaingiza kwenye kampuni. Weekend ya hivi huwa ni neema! Usiku mmoja unapata mpunga wa wiki nzima.....Kuna Kampuni huwa zinatoa bonus kama hizo kwa idara zinazofanya vizuri kwenda sehemu kama hiyo na anakabidhiwa Kiongozi wao mzigo kama wa 4M wakajiburudishe sehemu kama hiyo ila risiti lazima so sio kitu cha ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app