Sijakuelewa mkuu, part ya kwanza nimeelewa ila hapo kwenye walaji kula mkiwa ndani sijaelewa umemaanisha nini [emoji3] [emoji2]Ni ugali kitimoto ila inakuwa kwenye umbo la ngalawa walaji mnakula mkiwa ndani.
Sijakuelewa mkuu, part ya kwanza nimeelewa ila hapo kwenye walaji kula mkiwa ndani sijaelewa umemaanisha nini [emoji3] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwenzio anakufanya ww poyoyo ujueSijakuelewa mkuu, part ya kwanza nimeelewa ila hapo kwenye walaji kula mkiwa ndani sijaelewa umemaanisha nini [emoji3] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtu mmoja au kundi la watu, maana mtu mmoja haileti lojikiHabari za weekend wakuu.
Kumekuwa na kamsema ambako kanaashiria hali ngumu ya maisha "vyuma vimekaza" lakini kuna watu bado wanatumbua maisha kama kawa.
Kwahiyo basi nashauri kila mtu akiona hali yake ngumu asiseme "vyuma vimekaza" bali "vyuma vyangu vimekaza". Uki generalize kuna wengine wanakwazika.
Naamini ni kundi la watu/part Fulani hivi
Mkuu ndo nilichotafakari, haileti lojiki mtu mmoja akafanya matumizi yote hayo, ila kama ni party ni sawa tuu, mbona pesa ndogo tu hiyo,Naamini ni kundi la watu/part Fulani hivi
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Watakua walikua wachacheMkuu ndo nilichotafakari, haileti lojiki mtu mmoja akafanya matumizi yote hayo, ila kama ni party ni sawa tuu, mbona pesa ndogo tu hiyo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo laki 8 hebu acheni ujingaNi ugali kitimoto ila inakuwa kwenye umbo la ngalawa walaji mnakula mkiwa ndani.
Hela ndogo? Kwako wewe kutumia 2.5m kwenye bar usiku mmoja ni ndogo? Hongera mkuu.Mkuu ndo nilichotafakari, haileti lojiki mtu mmoja akafanya matumizi yote hayo, ila kama ni party ni sawa tuu, mbona pesa ndogo tu hiyo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti sprit soda 2000Habari za weekend wakuu.
Kumekuwa na kamsema ambako kanaashiria hali ngumu ya maisha "vyuma vimekaza" lakini kuna watu bado wanatumbua maisha kama kawa.
Kwahiyo basi nashauri kila mtu akiona hali yake ngumu asiseme "vyuma vimekaza" bali "vyuma vyangu vimekaza". Uki generalize kuna wengine wanakwazika.