Usiseme Vyuma Vimekaza; Sema Vyuma Vyangu Vimekaza

Wahudumu wa Samakisamaki Wazuri aiseeee siyo kama wa Bar zilizochoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeambiwa hiyo sio Risiti ..... Huyo ni mfanyakazi wa Hapo kaamua kuitengeneza, na kwa akili yake ya ujanja ameshindwa kuiprocess akijuanikifikia hatua ya Risiti atalazimika kulipa.

Aweke Risiti yenyewe kama kweli ni mtumiaji ivo.

Mnamacho hata hamuoni??? fanyen picha kua sehem ya kazi ya Falsafa !!!
 
Yenye risit ipoo..kama unaitaka sema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Kampuni huwa zinatoa bonus kama hizo kwa idara zinazofanya vizuri kwenda sehemu kama hiyo na anakabidhiwa Kiongozi wao mzigo kama wa 4M wakajiburudishe sehemu kama hiyo ila risiti lazima so sio kitu cha ajabu


Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha kuna kipindi nilikuwa nafanyakazi kwenye bar fulani ndani ya hotel. Kuna makampuni huwa wanafanya training kwahio weekend huwa wanakuja kunywa kwa 'TAB' ya kampuni....yaani wanachukua tu bill unaingiza kwenye kampuni. Weekend ya hivi huwa ni neema! Usiku mmoja unapata mpunga wa wiki nzima.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…