Usishangae;Fans wa Diamond walikuwa blood Fans wa Alikiba

Hakupendwa Yesu, pamoja na mazuri yote aliyoyafanya hapa duniani na bado watu wakamsurubu na kumtundika juu kama nyama buchani sembuse huyo bwana wako Almas. Kila mtu ana uchaguz wake nini cha kupenda na nini cha kukichukia usifos wote tumpende yeye.
Af Wenye roho mbaya hua na SURA MBAYA kama hyo yako,..sjui kwanin yan..[emoji23][emoji23][emoji23],pole sana bro,..si kwa uso huo,na roho hyo
 
Hilo halina ubishi.. ndio hivyo. Ila usisahau team Wema waliofurahia Dai kuachwa nae kwamba alikuwa anamuibia nyota na akakutana na Zari ndani ya mwezi mmoja, wakashushukaaaaaaaa haswa na kuanza majuto.
 
Kwahiyo huu ndio ugunduzi wako? wenzetu wanagundua drones sisi tunagundua upuuzi kama huu!! ivi kwa ugunduzi kama huu tanzania ya viwanda itakaa ifikiwe kweli?
Tatizo watu mnkurupuka tu na mihemko ambayo wala hata haina maana cjui mm nimegundua nn hapo zaidi ya kuunga mkono hoja ya mleta uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo huu ndio ugunduzi wako? wenzetu wanagundua drones sisi tunagundua upuuzi kama huu!! ivi kwa ugunduzi kama huu tanzania ya viwanda itakaa ifikiwe kweli?
Wenye viwanda kweli hua tunacheka sana mtu akija na kauli kama yako,hiv unahis nasis hatupumziki kijana.?hapa ndio tunapumzika,tunakunywa,..unataka niwe site mda huu ndugu,..sasa nakuhamasisha wew,fungua kiwanda kama mim.
 
wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana , video mbovu na ni music ni aina zitumiwazwo na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani.
nyimbo kama hizo pia huimba na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
 
Mkuu mi naingiza 5mil na ushee a month wala sihitaj pesa ya WCB,mi nimewambia ukwel,yaan ukiona unamchukia diamond,ujue we ni mhanga wa hayo niliyosema kule juu..y umchukie mtu for no reason?.hakujui,humjui,hamlishi,hakulishi,..get a life bro
Suala siyo kumchukia ni kumwambia ukweli kaiba wimbo wa Matonya. Kuhusu wewe kuingiza mil5 kwa mwezi nakupa pongezi maaana unadhihirisha kwamba maisha tz siyo magumu kama wengine wanavyotuaminisha mitandaoni katika awamu ya mzee wa Majipu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…