Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Af Wenye roho mbaya hua na SURA MBAYA kama hyo yako,..sjui kwanin yan..[emoji23][emoji23][emoji23],pole sana bro,..si kwa uso huo,na roho hyoHakupendwa Yesu, pamoja na mazuri yote aliyoyafanya hapa duniani na bado watu wakamsurubu na kumtundika juu kama nyama buchani sembuse huyo bwana wako Almas. Kila mtu ana uchaguz wake nini cha kupenda na nini cha kukichukia usifos wote tumpende yeye.