Usishangae;Fans wa Diamond walikuwa blood Fans wa Alikiba

Suala siyo kumchukia ni kumwambia ukweli kaiba wimbo wa Matonya. Kuhusu wewe kuingiza mil5 kwa mwezi nakupa pongezi maaana unadhihirisha kwamba maisha tz siyo magumu kama wengine wanavyotuaminisha mitandaoni katika awamu ya mzee wa Majipu
Yah man,napambana
 
Yah man,napambana
Ni vizuri kupambana kaka maana watu wanang'ang'ana kupiga kelele njaa wanadhani serikali itawalisha mazoea ya pesa za madeal yamepitwa na wakati.

Watu walipiga kelele mwaka 1996 wakati wa Mkapa lakini sisi wengine tuliokua kazini hatuona mabadiliko ya kiuchumi maana mishahaara ilikua ile ile. Tatizo kubwa watu wengi ni wavivu sana wanataka njia za mkato mrija ukizibwa hawawezi kupumua.

Ndugu yangu huu ni wakati muafaka wa kufanya kweli usirudi nyuma tumia nafasi hiyo
 
Mwenyewe nilikua namuelewa diamond sana ila kwa ujinga wake wa taarabu na mipasho acha nichekelee ali anavyoseduce watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…