Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Macmuga na njiwa zilikuwa nyimbo kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah man,napambanaSuala siyo kumchukia ni kumwambia ukweli kaiba wimbo wa Matonya. Kuhusu wewe kuingiza mil5 kwa mwezi nakupa pongezi maaana unadhihirisha kwamba maisha tz siyo magumu kama wengine wanavyotuaminisha mitandaoni katika awamu ya mzee wa Majipu
Ni vizuri kupambana kaka maana watu wanang'ang'ana kupiga kelele njaa wanadhani serikali itawalisha mazoea ya pesa za madeal yamepitwa na wakati.Yah man,napambana