Usishangae;Fans wa Diamond walikuwa blood Fans wa Alikiba

Lengo kuu la uzi huu ni kuweka historia sawa.Naomba sana mods msiunganishe na uzi mwingine.
Nadhani wote tunakubaliana kuwa EX hawaachani bali wanatengana tu kwa muda endapo mmoja akiamuwa kuliamsha dude basi kurudiana ni rahisi kama kumsukuma mlevi

Nimeamuwa kuweka sawa historia kwa sababu kumezuka katabia siku za karibuni naweza sema"kakijinga"Eti wanasema mashabiki/fans wa Alikiba ni wale ambao wanamchukia Diamond kwa sababu ya mafanikio yake na mashabiki wengine wanamchukia kutoka kwa waliokuwa ex wake.Hii ni kauli ya kujifariji na Coward. Kama umeanza kusikiliza mzika start 2010's sitashangaa uku support hiyo kauli....

Labda niwakumbushe.Alikiba alianza mziki rasmi mwaka 2005 kwa kupata collaboration kutoka kwa wasanii waliomtangulia kama Dully Syksi,EB by skills na wengine wengi.Mwaka 2006 aliaachia wimbo wake mwenyewe official song ulioitwa Cinderella,nyimbo was a mega hit kwani àliweza kuingia kwa miguu miwili katika tasnia ya bongo fleva. Baada ya hapo nyimbo zilizofuta zilikuwa ni hit songs kama vile Nichumu,Msela,Nakshi Nakshi,Njiwa,MacMuga,n.k.mwaka 2008 ilikuwa ni bahati kwake hakuna msanii ambaye hatamani kufanya kazi na legend kama R.Kelly hivyo kupitia project ya One 8 msanii alikiba alifanya kazi na Wasanii waliokuwa wanafanya vizuri kipindi hicho.Project hii iliweza kumtambulisha Alikiba kimataifa zaidi kuanzia Afrika and Europe,US. Nyota ya alikiba iling'aa sana miaka hiyo kabla ya kuachia ngoma ambazo zina hit hadi leo kama vile,Mapenzi yana run dunia,Single boy,My Every thing,na Dushelele.
Late 2009's aliacha mziki/kupumzika katika tasnia ya bongo flava.Kuanzia mwaka huu ndipo kizazi kipya cha bongo fleva kiliibuka wasanii kama vile Marlow,Barnaba,Amini na Diamond n.k waliibuka.
Kwa upande wa Diamond ni msanii anayejituma sana kwani tangu alipoanza rasmi mzika mwaka 2010 graph yake inapanda siku hadi siku.Ni msanii ambaye amepata mafanikio makubwa tofauti na alionza nao.
Kumbuka tangu Alikiba anaacha mziki kulikuwa na malalamiko ya chini kwa chini kwa blood fans wake.Kuna wakati alisikika akisema kati ya moja ya interview zake kuwa"kizuri kikikosekana kibaya kitakuwa kizuri"mwisho wa kunukuu.Hivyo tangu amerudi rasmi katika tasnia ya bongo fleva ameweza kurudisha heshima na uwezo wake wa awali.
NOTE;
Mashabiki wa Diamond walikuwa mashabiki wa Alikiba kabla ya kuacha kuimba so sishangai leo kurudi katika asili yao ya awali.Alikiba na Fans wake ni mtu na Ex wake.
Asante

great thinker
Mkuu acha kuongopea eti domo kaanza mziki 2009' yaani kamwambie na mbagala ni za 2009? Au mwaka huo ndio ulianza kuzisikia nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua mashabiki wengi wa kiba wanasifa moja inayofanana,hususan hawa walioanza kuwa mashabiki baada ya yeyekurudi kwenye muziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tunamshangaa Ali kiba ,alivuma akabweteka,sasa mwingine kajitengenezea njia kimataifa,sasa kamtumia kurudi kwenye mziki. Hapo tunapoona Ali ni kama anaroho mbaya,ndo maana aliekaribu na kiba hata show baa hapati,
Halafu mie namshangaa anaemsapot kiba ,sjui ni kwa wema upi alionao kwa watz. Return ya achievement yake imewahi kumfkia nani ?, Mi wote ni wasanii wazuri na nyimbo zao ninazo,ila huu mpya Wa kiba sijauelewa
 
Lengo kuu la uzi huu ni kuweka historia sawa.Naomba sana mods msiunganishe na uzi mwingine.
Nadhani wote tunakubaliana kuwa EX hawaachani bali wanatengana tu kwa muda endapo mmoja akiamuwa kuliamsha dude basi kurudiana ni rahisi kama kumsukuma mlevi

Nimeamuwa kuweka sawa historia kwa sababu kumezuka katabia siku za karibuni naweza sema"kakijinga"Eti wanasema mashabiki/fans wa Alikiba ni wale ambao wanamchukia Diamond kwa sababu ya mafanikio yake na mashabiki wengine wanamchukia kutoka kwa waliokuwa ex wake.Hii ni kauli ya kujifariji na Coward. Kama umeanza kusikiliza mzika start 2010's sitashangaa uku support hiyo kauli....

Labda niwakumbushe.Alikiba alianza mziki rasmi mwaka 2005 kwa kupata collaboration kutoka kwa wasanii waliomtangulia kama Dully Syksi,EB by skills na wengine wengi.Mwaka 2006 aliaachia wimbo wake mwenyewe official song ulioitwa Cinderella,nyimbo was a mega hit kwani àliweza kuingia kwa miguu miwili katika tasnia ya bongo fleva. Baada ya hapo nyimbo zilizofuta zilikuwa ni hit songs kama vile Nichumu,Msela,Nakshi Nakshi,Njiwa,MacMuga,n.k.mwaka 2008 ilikuwa ni bahati kwake hakuna msanii ambaye hatamani kufanya kazi na legend kama R.Kelly hivyo kupitia project ya One 8 msanii alikiba alifanya kazi na Wasanii waliokuwa wanafanya vizuri kipindi hicho.Project hii iliweza kumtambulisha Alikiba kimataifa zaidi kuanzia Afrika and Europe,US. Nyota ya alikiba iling'aa sana miaka hiyo kabla ya kuachia ngoma ambazo zina hit hadi leo kama vile,Mapenzi yana run dunia,Single boy,My Every thing,na Dushelele.
Late 2009's aliacha mziki/kupumzika katika tasnia ya bongo flava.Kuanzia mwaka huu ndipo kizazi kipya cha bongo fleva kiliibuka wasanii kama vile Marlow,Barnaba,Amini na Diamond n.k waliibuka.
Kwa upande wa Diamond ni msanii anayejituma sana kwani tangu alipoanza rasmi mzika mwaka 2010 graph yake inapanda siku hadi siku.Ni msanii ambaye amepata mafanikio makubwa tofauti na alionza nao.
Kumbuka tangu Alikiba anaacha mziki kulikuwa na malalamiko ya chini kwa chini kwa blood fans wake.Kuna wakati alisikika akisema kati ya moja ya interview zake kuwa"kizuri kikikosekana kibaya kitakuwa kizuri"mwisho wa kunukuu.Hivyo tangu amerudi rasmi katika tasnia ya bongo fleva ameweza kurudisha heshima na uwezo wake wa awali.
NOTE;
Mashabiki wa Diamond walikuwa mashabiki wa Alikiba kabla ya kuacha kuimba so sishangai leo kurudi katika asili yao ya awali.Alikiba na Fans wake ni mtu na Ex wake.
Asante

great thinker
Nataman kushare
 
Japo jamaa wanamshobokea but dude is a selfish one, kudhihirisha hilo ni kuwa kashindwa hata kumsaidia dogo lake asisike. Mond ana gundu coz pamoja na kusaidia watu wengne kama kina harmonize, rayvanny, lavalava, richimavoka n.k lkn watu kama hawamwelewi iv.

Hatushangai povu la sabuni+ la dawa ya meno..napenda sana kina anavyowanyima raha.
 
Hakuna shabiki wa Kiba, wapo mashabiki wa Diamond na maadui wa Diamond. Ukiwa adui unaenda upande ule
1. Wema
2. Jokate
3. Mange

Endelea .... hao wote baada ya kuacha kupigwa kipara wakahamia upande ule.

Pia kuna kundi la vijana wenzake "Wateketeke" wanatoa support kubwa.
Kwanini hakuna shabiki wa kiba? Kama hauongelei ushabiki nafikiri unajua kwamba kauli yako si kweli, Kiba alitengeneza base kubwa ya mashabiki kabla hajapumzika mimi pia nikiwemo, ujue ushabiki huwa unakuja tu kulingana na unavyoguswa na kazi husika...
Ukisema eti watu wanamchukia msanii A ndo maana wanamshabikia msanii B unakuwa unakosea, maana wengi tunachofata ni burudani...hayo magari na majumba hayawezi kuwa kigezo cha kumpenda au kumchukia msanii!

Mbona kuna wasanii tuna mahaba nao toka Uk na Us ila hatujui hata wanamiliki nini na nini!

Kikubwa tuache ushindani uchukue nafasi katika butudani, kuliko kung'ang'ana na habari za chuki!

Hata kwa wenzetu timu zipo, pamewahi kuwa na ushindani mkali sana kati ya Taylor Swift na Katy perry, mashabiki wa taylor wakijiita "swifties"huku wale wa Katy wakijiita "Katycats" ila bado Pop haikuteteleka!
 
Japo jamaa wanamshobokea but dude is a selfish one, kudhihirisha hilo ni kuwa kashindwa hata kumsaidia dogo lake asisike. Mond ana gundu coz pamoja na kusaidia watu wengne kama kina harmonize, rayvanny, lavalava, richimavoka n.k lkn watu kama hawamwelewi iv.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana gundu basi tu wanadiss huku wanakubali kiaina
 
98f66334d2fe5e26f7cf5d7b8c16d5f7.jpg
 
Lengo kuu la uzi huu ni kuweka historia sawa.Naomba sana mods msiunganishe na uzi mwingine.
Nadhani wote tunakubaliana kuwa EX hawaachani bali wanatengana tu kwa muda endapo mmoja akiamuwa kuliamsha dude basi kurudiana ni rahisi kama kumsukuma mlevi

Nimeamuwa kuweka sawa historia kwa sababu kumezuka katabia siku za karibuni naweza sema"kakijinga"Eti wanasema mashabiki/fans wa Alikiba ni wale ambao wanamchukia Diamond kwa sababu ya mafanikio yake na mashabiki wengine wanamchukia kutoka kwa waliokuwa ex wake.Hii ni kauli ya kujifariji na Coward. Kama umeanza kusikiliza mzika start 2010's sitashangaa uku support hiyo kauli....

Labda niwakumbushe.Alikiba alianza mziki rasmi mwaka 2005 kwa kupata collaboration kutoka kwa wasanii waliomtangulia kama Dully Syksi,EB by skills na wengine wengi.Mwaka 2006 aliaachia wimbo wake mwenyewe official song ulioitwa Cinderella,nyimbo was a mega hit kwani àliweza kuingia kwa miguu miwili katika tasnia ya bongo fleva. Baada ya hapo nyimbo zilizofuta zilikuwa ni hit songs kama vile Nichumu,Msela,Nakshi Nakshi,Njiwa,MacMuga,n.k.mwaka 2008 ilikuwa ni bahati kwake hakuna msanii ambaye hatamani kufanya kazi na legend kama R.Kelly hivyo kupitia project ya One 8 msanii alikiba alifanya kazi na Wasanii waliokuwa wanafanya vizuri kipindi hicho.Project hii iliweza kumtambulisha Alikiba kimataifa zaidi kuanzia Afrika and Europe,US. Nyota ya alikiba iling'aa sana miaka hiyo kabla ya kuachia ngoma ambazo zina hit hadi leo kama vile,Mapenzi yana run dunia,Single boy,My Every thing,na Dushelele.
Late 2009's aliacha mziki/kupumzika katika tasnia ya bongo flava.Kuanzia mwaka huu ndipo kizazi kipya cha bongo fleva kiliibuka wasanii kama vile Marlow,Barnaba,Amini na Diamond n.k waliibuka.
Kwa upande wa Diamond ni msanii anayejituma sana kwani tangu alipoanza rasmi mzika mwaka 2010 graph yake inapanda siku hadi siku.Ni msanii ambaye amepata mafanikio makubwa tofauti na alionza nao.
Kumbuka tangu Alikiba anaacha mziki kulikuwa na malalamiko ya chini kwa chini kwa blood fans wake.Kuna wakati alisikika akisema kati ya moja ya interview zake kuwa"kizuri kikikosekana kibaya kitakuwa kizuri"mwisho wa kunukuu.Hivyo tangu amerudi rasmi katika tasnia ya bongo fleva ameweza kurudisha heshima na uwezo wake wa awali.
NOTE;
Mashabiki wa Diamond walikuwa mashabiki wa Alikiba kabla ya kuacha kuimba so sishangai leo kurudi katika asili yao ya awali.Alikiba na Fans wake ni mtu na Ex wake.
Asante

great thinker
Eti Marlaw alikuja baada ya Alikiba kupumzika, jaribu kuficha upumbavu wako basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom