Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Me nawashanga kwel yaan walivyo waoga hawakupaswa kuchagua upande kwenye ivo vita.Watu wanaona vita kama mchezo wa kubeti, halafu hawa wabaongo wanaoshangilia vita na kuchagua upande wakisikia tu mlio wa pancha wanatoka nduki. Vita sio vya ku viombea, visikie tu kwa jirani.
Kama anadundwa mtu mjinga mimi nafurahia.Usinipangie.π€£π€£π€£Nchi washirika wa Israel zilipigwa kumbo uchumi wake na Covid 19, zikijiandaa kukaa sawa, zikaingia Ukrain kupambana na Urusi. Kwa sasa zimechoka na vita na zilimshauri dogo atulie kwa muda,asiende nje ya Gaza, dogo nunda. Matokeo ndo haya.Macron kashamchana live,hawana msaada zaidi, dogo kwa hasira kapiga total energy ya wafaransa huko middle East. Yote kwa yote , vita siyo kitu kizuri,usishangilie.
Tatizo visigino vina magaga.Unatumia Kobazi saizi gani?
Kamanda huyu.Hivi yuko wapi muda huu?
Una Appointment nae?Kamanda huyu.Hivi yuko wapi muda huu?
Vita haijalishi upande gani utashinda watu wanakufa wasio na hatiaWatu wanaona vita kama mchezo wa kubeti, halafu hawa wabaongo wanaoshangilia vita na kuchagua upande wakisikia tu mlio wa pancha wanatoka nduki. Vita sio vya ku viombea, visikie tu kwa jirani.
Anidanganye nikapigane kwa ajili ya magaidi?π€Una Appointment nae?
ππ€£π€£π€£Unatumia Kobazi saizi gani?
Usikariri Maisha Umekuwa Brainwashed kwamba ukijilinda,ukipigana na adui unaitwa Gaidi. PatheticAnidanganye nikapigane kwa ajili ya magaidi?π€
Nakusikiliza kwa umakini ila haunidanganyi na uzee huu.Siwezi kupigana vita kutetea wajingawajinga. ππUsikariri Maisha Umekuwa Brainwashed kwamba ukijilinda,ukipigana na adui unaitwa Gaidi. Pathetic