Usishindane Na Mwanamke Matumizi

Usishindane Na Mwanamke Matumizi

Afu utakuta kwenye status kaandika "Asante Mungu kwa mema unayenitendea." Badala ya asante madanga.
 
Kuna mdada huyo yeye alikuwa akinitumia nyimbo za mapenzi tu. Na whatsapp avatar za mapenzi tu, tozi25 nikajiona nipo peke yangu. Kumbe mwenzangu yupo kazini katupanga kama nyama ya mshikaki dadeki zake. Kanila hela zangu kilaaini shenzi type yule[emoji22] [emoji22] [emoji35] [emoji35]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kisifuli Manyoya Ulikuwa Lakin....??

Au Ulitoka Deshiii.......!!
 
Sio wewe wengi tu walidhani hivyo hadi ili bidi niweke uzi wa kueleza jinsi yangu ahahaahahah labda nina sura ngumu hahahahahahahahah
Nikiwemo namimi kwenye hiyo list make mpaka siku moja kwenye post flan hivi kidogo nikimbie nikidhani nimefatwa nabeberu.Ilo jina dah kulielewa jinsia mpaka ujitoe ufaham
 
Back
Top Bottom