Una nyota ya u-tomboy?ππππππ
Nimeacha, nimempokea YESUπKwaiyo Unataka Niambia Nw Umeacha Haka Kamchezo Jaman.....!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jina lako halina gender....Avatar unazopenda kuweka ni kuntu sana....Ni vigumu kwa mtu kujua kama hiyo ni ID ya KE.Tom Boy? ndio nyota ipi hiyo?
Kisifuli Manyoya Ulikuwa Lakin....??Kuna mdada huyo yeye alikuwa akinitumia nyimbo za mapenzi tu. Na whatsapp avatar za mapenzi tu, tozi25 nikajiona nipo peke yangu. Kumbe mwenzangu yupo kazini katupanga kama nyama ya mshikaki dadeki zake. Kanila hela zangu kilaaini shenzi type yule[emoji22] [emoji22] [emoji35] [emoji35]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
tehe tehe tehe hata hiyo hapo haina jinsi hahahahha (avatar)Jina lako halina gender....Avatar unazopenda kuweka ni kuntu sana....Ni vigumu kwa mtu kujua kama hiyo ni ID ya KE.
Eimen....!!!Nimeacha, nimempokea YESUπ
AmeeeeeennnEimen....!!!
Bwana Asifiwe....!!!
Umeolewa Au Bado...!!!Ameeeeeennn
Umezoea kuweka za wazee wenye jino moja moja ndio sababu....hata hivyo hii ya sasa kutumiwa na KEπππππ.....dah! ila sawa tu.tehe tehe tehe hata hiyo hapo haina jinsi hahahahha (avatar)
Nikiwemo namimi kwenye hiyo list make mpaka siku moja kwenye post flan hivi kidogo nikimbie nikidhani nimefatwa nabeberu.Ilo jina dah kulielewa jinsia mpaka ujitoe ufahamSio wewe wengi tu walidhani hivyo hadi ili bidi niweke uzi wa kueleza jinsi yangu ahahaahahah labda nina sura ngumu hahahahahahahahah
njia gan wanayotumia?Sidhani kama wanatumia njia hiyo siku hizi maana hali ilivyongumu[emoji125]
Nilikula mzigo lakini kashapata kama 2m inauma[emoji35]Kisifuli Manyoya Ulikuwa Lakin....??
Au Ulitoka Deshiii.......!!
Ungeongezea kiduchu Tuu Ungeenda nunua Piki piki Ya Boxer hapoNilikula mzigo lakini kashapata kama 2m inauma[emoji35]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu hizo pikipiki hata mia(100) naweza kumiliki 2m sio hela ya hivyo.Ungeongezea kiduchu Tuu Ungeenda nunua Piki piki Ya Boxer hapo
Tayari Kwa biashara
Hapa Ndipo Ninapo Amin Life Iz Not Fair[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu hizo pikipiki hata mia(100) naweza kumiliki 2m sio hela ya hivyo.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]