JamiiCheck
Member
- Nov 3, 2023
- 98
- 122
sasa itakuwaje wengine taharuki na migogoro ndo furaha ya maisha yao, mi mwenyewe hapa namtafuta wa kumchocheaUnapobaini kuwa Taarifa uliyokutana nayo Si ya Kweli, epuka kuisambaza kwa wengine kwani inaweza kuwa chanzo cha Migogoro na Taharuki katika Jamii.
Zuia Taarifa Potofu kwa kufanya Uthibitishaji wa kila Taarifa unayokutana nayo ili kuchochea uwepo wa Taarifa Sahihi wakati wote.
Zuia Taarifa Potofu kwa kufanya Uthibitishaji wa kila Taarifa unayokutana nayo ili kuchochea uwepo wa Taarifa Sahihi wakati wote.📌🔨Unapobaini kuwa Taarifa uliyokutana nayo Si ya Kweli, epuka kuisambaza kwa wengine kwani inaweza kuwa chanzo cha Migogoro na Taharuki katika Jamii.
Zuia Taarifa Potofu kwa kufanya Uthibitishaji wa kila Taarifa unayokutana nayo ili kuchochea uwepo wa Taarifa Sahihi wakati wote.
Mkuu mada za kidini huwa zina debate isiyoisha hivyo inawaongezea viewers!! Hapa kuna mgongano wa kimaslahi viewers vs uadilifu!!Mbona nyie mnaruhusu taarifa ambazo ni zimejaa uongo tena za kukashifu dini humu jf, kwanini msianze nyie kuonyesha mfano?