USISOME ikiwa una Aleji ya MAFANIKIO, PESA ama UTAJIRI

Kuna na mawazo positive kuhusu pesa, mafanikio na utajiri wakati huna uwezo wa kufika hatua hiyo ni useless reassurance. Shida kubwa ya makala kama hizi mnalinganisha mtanzania wa kawaida na mtu kama Azam, Mengi sijui nahi wakati hao watu ni mabig fish. It's really unfair comparison!

Tukubali tu kwamba watanzania wengi hatuna start-up capital na elimu ya biashara

You are the start-up capital.
 
Go to school get good grades and get a good secured job---------worth by 1930---u'll end up poor

Go to school graduate and start bussinesses-------------worth in these times...........u are rich.

Kutajirika ni lazima uishe imagination zako na si historia yako na lazima u dream big,,,kila mtu alizaliwa uchi,,,,,,,yaani bila chochote ---everything else --akili nywele.

Hata hivyo I doubt that being successfull is related to being a natural leader,,hence one has to be in one way o another intelligent.
 
Kaka huu ni ukweli kabisa maana wengi wanabeza sana kuhusu fursa sahihi ambayo itamwezesha kubadili maisha yake kutoka katika umaskini alio nao na kuwa katika nafasi ya kupunguza makali ya maisha,au hata kuwa tajiri kabisa,naamini kuwa mtu yeyote anayebeza sio mtafiti wa fursa zilizopo za kuiongezea kipato hata kukufanya kuwa tajiri(no reseach no right to speak)kwa kweli kama huna jipya juu ya fursa halali basi usichangie wala usimpotezee mwenzako ndoto yake maana abezae hana ndoto na huyo ni mfu kabisa hana vision
 
Kazi ni mahali tu pa kukupa exposure ambapo utaweza kukutana na watu mbali mbali)wewe kama unaamini ajira ndio itakutoa subiri hapo maana naona huoni kitu mbele yako,huna mtazamo chanya katika life,bado ni mchanga,maana naona unaota ajira ndio itakufanya uwe tajiri hapo sio pako naamini kama unadhani ajira ndio itakutoa basi utakua mwizi tuu hapo ulipoajiriwa,tofauti na fursa hizi ambazo unazisikia ambapo ni fursa halali ambazo utajipatia kipato halali ni cha kwako sio mwingine ni wewe,sidhani ukiwa profesa utapata mshahara wa kulingana na mtua ambae yupo makini na fursa hizi na anatengeneza fedha ya maana kwa mwezi ambapofursa hizi hazihitaji darasa kaa chin fikiria then chukua hatua maana sidhani hiyo dhana yako ya kwenda shule upate degree kumi ndio uyapatie maisha hli suala linahitaji watu wenye vision and mission and belife you will have money!!!
 
Ni wazi kuwa Watanzania wengi wana mtazamo HASI juu ya MAFANIKIO, PESA ama UTAJIRI,
hauitaji Rocket Science kujua hilo, angalia michango mbalimbali juu ya FURSA za kujiongezea kipato ama mafanikio ama kutajirika utagundua jambo hilo.

Katika utafiti wangu usio rasmi, asilimia 70 ya comment kuhusu topic hizo huwa ni NEGATIVE, nimekuwa najiuliza ni kwanini???

Mwanafalsafa mmoja aliwai sema, namnukuu, "What you can't address, you cant arrest"

Frank Loyd Wright anasema "The thing always happens that you really believe in; and the belief in a thing makes it happen."

Hii yamaanisha nini, kwamba ukiamini kushindwa, umasikini ndivyo vitakutokea, pia usipoweza kuwa na fikra chanya kuhusu UTAJIRI, MAFANIKIO au PESA, uwezi kutajirika, uwezi pata mafanikio na uwezi pata pesa, hata Biblia yathibitisha hilo inaposema "aonavyo mtu rohoni mwake ndivyo alivyo"

Najua nitawakwaza baadhi yenu, nisameheni, lakini nimeonya kuwa USISOME kama una ALEJI na vitu hivyo.
Mbarikiwe nyote, asiye na ALEJI anitafute tupeane mawazo 0176927070, Siku Njema na Idd Njema pia.
Fursa zipo ila vijana wengi wamefocus kuajiriwa because they dont want to start from the root, they need shortcut, but long cut aaa!!, thats why today ukiandika uzushi hasa wa kisiasa watu wengi watakoment hadi mapovu yanawatoka Why, wanafikiri kwamba iko siku watapa serikali itakayowashushia kila kitu bila kufanya kazi. tunatakiwa kuplay role kuleta hisia chanya juu ya nafanikio yetu binafsi kabla hatujaanza kulalama.
 
@ Catheline, 2015 projection is 9 figures, you can guess the current one.
 
CASH, Zomba, Gajungi, Paul2012, Careboy wamuntere, etc, this thread is for you guys, thanx for positive and constructive inputs,
for those still NEGATIVE on the thread, I feel sorry for you guys, but there is always room for improvement or MINDSET CHANGE, your not too late to catch the plane. BADILINI MITAZAMO.

Kumbukeni kuwa, ...Those at the top of the mountain didn't fall there.

...You have to win in your mind before you win in your life. J. Addison
 
Last edited by a moderator:
Ni wazi kuwa Watanzania wengi wana mtazamo HASI juu ya MAFANIKIO, PESA ama UTAJIRI,
hauitaji Rocket Science kujua hilo, angalia michango mbalimbali juu ya FURSA za kujiongezea kipato ama mafanikio ama kutajirika utagundua jambo hilo.

Katika utafiti wangu usio rasmi, asilimia 70 ya comment kuhusu topic hizo huwa ni NEGATIVE, nimekuwa najiuliza ni kwanini???

Mwanafalsafa mmoja aliwai sema, namnukuu, "What you can't address, you cant arrest"

Frank Loyd Wright anasema "The thing always happens that you really believe in; and the belief in a thing makes it happen."

Hii yamaanisha nini, kwamba ukiamini kushindwa, umasikini ndivyo vitakutokea, pia usipoweza kuwa na fikra chanya kuhusu UTAJIRI, MAFANIKIO au PESA, uwezi kutajirika, uwezi pata mafanikio na uwezi pata pesa, hata Biblia yathibitisha hilo inaposema "aonavyo mtu rohoni mwake ndivyo alivyo"

Najua nitawakwaza baadhi yenu, nisameheni, lakini nimeonya kuwa USISOME kama una ALEJI na vitu hivyo.
Mbarikiwe nyote, asiye na ALEJI anitafute tupeane mawazo 0176927070, Siku Njema na Idd Njema pia.

Wengine tuna access na email...tuwekee kama ni posibo...
 
"Every one who had an opporunity and ignored your knock, will one day have a moment where they want to ring your doorbell hopping you forgot." annony.
 
Nothing on earth is greater than the human mind in potential power, the avarage individual is capable of much greater achievement than he/she has ever realised. Dr N. Peale

DA. , si wapi ulipo au hali uliyonayo sasa ama historia vinavyoamua hatima yako, bali MTAZAMO wako, amka kaka.
You can make just about anything of your life, anything you'll believe or visualise,...wake up.
 
Last edited by a moderator:
mara nyingi nasomaga kwenye biblia yangu sijapata ona kifungu hichi naomba uniambie umekinukuu wapi ili nisome zaidi na nielewe besti nipaste"aonavyo mtu rohoni mwake ndivyo alivyo"
Ni wazi kuwa Watanzania wengi wana mtazamo HASI juu ya MAFANIKIO, PESA ama UTAJIRI,
hauitaji Rocket Science kujua hilo, angalia michango mbalimbali juu ya FURSA za kujiongezea kipato ama mafanikio ama kutajirika utagundua jambo hilo.

Katika utafiti wangu usio rasmi, asilimia 70 ya comment kuhusu topic hizo huwa ni NEGATIVE, nimekuwa najiuliza ni kwanini???

Mwanafalsafa mmoja aliwai sema, namnukuu, "What you can't address, you cant arrest"

Frank Loyd Wright anasema "The thing always happens that you really believe in; and the belief in a thing makes it happen."

Hii yamaanisha nini, kwamba ukiamini kushindwa, umasikini ndivyo vitakutokea, pia usipoweza kuwa na fikra chanya kuhusu UTAJIRI, MAFANIKIO au PESA, uwezi kutajirika, uwezi pata mafanikio na uwezi pata pesa, hata Biblia yathibitisha hilo inaposema "aonavyo mtu rohoni mwake ndivyo alivyo"

Najua nitawakwaza baadhi yenu, nisameheni, lakini nimeonya kuwa USISOME kama una ALEJI na vitu hivyo.
Mbarikiwe nyote, asiye na ALEJI anitafute tupeane mawazo 0176927070, Siku Njema na Idd Njema pia.
 
mara nyingi nasomaga kwenye biblia yangu sijapata ona kifungu hichi naomba uniambie umekinukuu wapi ili nisome zaidi na nielewe besti nipaste"aonavyo mtu rohoni mwake ndivyo alivyo"

Mithali 23:7 "Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo..."
 
Hivi kuwa na Utajiri ndio mafanikio?
 
Back
Top Bottom