Kuna na mawazo positive kuhusu pesa, mafanikio na utajiri wakati huna uwezo wa kufika hatua hiyo ni useless reassurance. Shida kubwa ya makala kama hizi mnalinganisha mtanzania wa kawaida na mtu kama Azam, Mengi sijui nahi wakati hao watu ni mabig fish. It's really unfair comparison!
Tukubali tu kwamba watanzania wengi hatuna start-up capital na elimu ya biashara
Fursa zipo ila vijana wengi wamefocus kuajiriwa because they dont want to start from the root, they need shortcut, but long cut aaa!!, thats why today ukiandika uzushi hasa wa kisiasa watu wengi watakoment hadi mapovu yanawatoka Why, wanafikiri kwamba iko siku watapa serikali itakayowashushia kila kitu bila kufanya kazi. tunatakiwa kuplay role kuleta hisia chanya juu ya nafanikio yetu binafsi kabla hatujaanza kulalama.Ni wazi kuwa Watanzania wengi wana mtazamo HASI juu ya MAFANIKIO, PESA ama UTAJIRI,
hauitaji Rocket Science kujua hilo, angalia michango mbalimbali juu ya FURSA za kujiongezea kipato ama mafanikio ama kutajirika utagundua jambo hilo.
Katika utafiti wangu usio rasmi, asilimia 70 ya comment kuhusu topic hizo huwa ni NEGATIVE, nimekuwa najiuliza ni kwanini???
Mwanafalsafa mmoja aliwai sema, namnukuu, "What you can't address, you cant arrest"
Frank Loyd Wright anasema "The thing always happens that you really believe in; and the belief in a thing makes it happen."
Hii yamaanisha nini, kwamba ukiamini kushindwa, umasikini ndivyo vitakutokea, pia usipoweza kuwa na fikra chanya kuhusu UTAJIRI, MAFANIKIO au PESA, uwezi kutajirika, uwezi pata mafanikio na uwezi pata pesa, hata Biblia yathibitisha hilo inaposema "aonavyo mtu rohoni mwake ndivyo alivyo"
Najua nitawakwaza baadhi yenu, nisameheni, lakini nimeonya kuwa USISOME kama una ALEJI na vitu hivyo.
Mbarikiwe nyote, asiye na ALEJI anitafute tupeane mawazo 0176927070, Siku Njema na Idd Njema pia.
Ni wazi kuwa Watanzania wengi wana mtazamo HASI juu ya MAFANIKIO, PESA ama UTAJIRI,

Mkuu wewe umefanikiwa kwa kiasi gani? Yaani personal balance sheet yako ipo vipi?

mara nyingi nasomaga kwenye biblia yangu sijapata ona kifungu hichi naomba uniambie umekinukuu wapi ili nisome zaidi na nielewe besti nipaste"aonavyo mtu rohoni mwake ndivyo alivyo"