Usisome - kisa cha da chiku

Usisome - kisa cha da chiku

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Afande Manyota kaja Boston kutoka Bongo kwenye Mkutano Longwood Medical Center. Amefikia CHARLES HOTEL mjini Boston. Afande Manyota (AM) amempigia simu Chiku kumsalimia. Wanapanga Chiku Aende hotelini jioni waonane ili Afande ampe zawadi kutoka kwa shangazi yake Bongo.Chumbani kwa Akande Manyota Hotelini. Afande Manyota anamgojea Chiku kwa hamu. Chiku anabisha hodi mlangoni chumba (suite) namba 610:

Chiku: (Taratibu kwa sauti ndogo) Hodi!AM: Karibu!Afande Manyota anafungua mlango…….
AM – Oh, Karibu, karibu sana
Chiku – Asante (Chiku anashangaa Afande Manyota alivyo handsome futi sita, anaonekana kama ana misuli ya bondia)
AM- Kumbe wewe ndiye Chiku, oh karibu sana, nilikuwa na hamu sana ya kukuona. Shangazi yako kaniambia mengi juu yako.
Chiku – Asante nimekaribia. Shangazi hajambo siyo.
AM- Hajambo, anakusalimia sana. Karibu kiti
Chiku – Ahsante, Oh, chumba kizuri sana, kumbe hii hoteli safi sana…..
AM- Na hata mimi nimeipenda sana, chumba kikubwa
Chiku – Bila shaka kuna Jacuzzi bafuni?
AM – Haha, Jacuzzi ipo dada, unajuaje ulishawahi kufika hapa nini?
Chiku – Unastarehe wewe…….. hata hii hoteli inajulikana kwa anasa zake


SOMA ZAIDI

VISA VYA DADA CHIKU
 
dada chiku napenda nitoe visa vyangu nifanyaje?kelvinmwaisango@gmail.com
 
uu uchafu huu. uyu dada chiku ameshindikana.
 
Back
Top Bottom