Mwanamke mdanganye tu hakuna namna. mwanamke wa kumwambia ukweli asilimia Mia Ni mama mzazi tu ambaye mpo naye mpaka mwisho.raha ya kukaa na mwanamke mpenz mdanganye..japo uongo hausaidii Sana ila hakuna mwanamke wa kumwambia huna hela akakuelewa ..we mwambie tu una mpango wa kununua Rav 4 karibuni.na mkioana mtakuwa mnakula vizuri..ukishafunga ndoa atajijua mwenyewe atakutana nayo huko huko yaliyomo.mtishie mwambie we ni handsome na pesa unayo akae karibu na wewe anukie pesa.ila ukae ukijua pesa huwa zinaonekana kwa actions sio kwa maneno tu.kama utajitapa sana kuwa una pesa tuonyeshe matumizi yako