Usisubiri kusifiwa utakesha

Usisubiri kusifiwa utakesha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mwanamke mdanganye tu hakuna namna. mwanamke wa kumwambia ukweli asilimia Mia Ni mama mzazi tu ambaye mpo naye mpaka mwisho.raha ya kukaa na mwanamke mpenz mdanganye..japo uongo hausaidii Sana ila hakuna mwanamke wa kumwambia huna hela akakuelewa ..we mwambie tu una mpango wa kununua Rav 4 karibuni.na mkioana mtakuwa mnakula vizuri..ukishafunga ndoa atajijua mwenyewe atakutana nayo huko huko yaliyomo.mtishie mwambie we ni handsome na pesa unayo akae karibu na wewe anukie pesa.ila ukae ukijua pesa huwa zinaonekana kwa actions sio kwa maneno tu.kama utajitapa sana kuwa una pesa tuonyeshe matumizi yako
 
Wewe jamaa tupo wote kwenye uzi wa job seekers. Unapata wapi muda wa kujadili mapenzi?
 
Ladies, the only reason why other guys(s) treat you better than your boyfriend is because they haven't f*cked you yet.
 
Back
Top Bottom