The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
"USITAFUTE Mapenzi Katika Umri Wa Kutafuta PESA"
Jana Nimechelewa Sana Kulala Nilikuwa Nasoma Tafiti Fulani Kuhusu UMRI na MAISHA.
Nikajifunza Kwamba Kuna Umri Ukiwa Nao Fursa Nyingi Zinakuwa Nje Nje, Na Unazipata Haraka.
Ila Kuna Umri Ukifika Hata FURSA Kuzipata Inakuwa Mtihani wa Chuo Kikuu, Si ni Kweli Ee?.
Mdio Maana Kuna Watu Wana Miaka Mingi au ni Wazee Kabisa Ukiongea Nae Anakwambi...
Nikipewa Nafasi Ya Kurudi UJANA Nitafanya Mambo Makubwa Sana, Nitasoma n.k.
Hii Yote Huonyesha Kwamba Kama Hutatumia MUDA Wako Vizuri Basi Utakuja KUJUTA Baadae.
Ndio Maana Watu Wengi Wakikaribia KUFA Ndio Huanza Kutoa MANENO ya BUSARA Sana, Kwa Sababu Wanajua Hawana Muda Tena.
Ndipo Katika Kuperuzi Mtandaoni Nikakutana na Huu Msemo "USITAFUTE Mapenzi Katika Umri wa Kutafuta PESA"
Huu Msemo Unawahusu Sana Vijana Kama Mimi, Wengi Tunawekeza NGUVU na BIDII Kubwa Sana.
Kwenye Mahusiano au Mapenzi Huku Tukisahau Kujijenga na Kujinoa KIUCHUMI na KIFEDHA.
Yess, Mwanaume Anaachwa Hana Pesa Badala...
Atafute PESA Anaenda Kutafuta Mpenzi Mwingine Utaendelea Kulia Sababu Ya Kuachwa.
Kama Mwanamke Alikuacha Kwa Sababu Hauna Pesa, Basi Zitafute Ili Mwingine Asije Kukuacha.
Kama Mwanaume Alikuacha Huna Maana Yaani Huna Kitu Unaweza Kumpa Zaidi Ya SEX (Ngono).
Bidada Tafuta KAZI, Jijenge Kiuchumi, Miliki Pesa Zako Kisha Mpe HESHIMA Mwanaume Wako.
Mapenzi Sio Pesa Ila Pesa Ikikosekana Ladha Ya Mapenzi Inaisha Niamini Mimi.
Kula Kula, Kuvaa, Kutoka Out, Shopping, Kwenda Vacation Kufurahi Kama Wapenzi (Wapendanao).
Sasa Wote Hamna Hela, Lazima Kuna Mmoja Atamuacha Mwenzake...Shida PESA Haipo.
Wazungu Wanasema "What You Bring At The Table, Apart From Love and Sex" Yaani (Kitu Gani Unaweka Mezani Ukiachilia Mbali UPENDO na TENDO).
Hembu Jiulize Uko Kwenye Mahusiano Hakuna Kitu Unachangia Zaidi Sana Unabaki Kumwambia....
NAKUPENDA, NAKUPENDA, NAKUPENDA (Inachosha Hii Kitu, UPENDO ni VITENDO).
Leo Anza Kujijenga Kwanza Ili Ukiingia Kwenye Mahusiano Uwe na Kitu Cha ZIADA Sio UPENDO na TENDO PEKEE.