Usitafute pesa; ifanye Pesa ikutafute yenyewe

Baada ya kufaudu pesa ya yule mwana mgombea kiulaini..

sasa umerudi kuwa motivational speaker

hela naisotea,bado sijambahatisha wa kuzileta
 
Baada ya kufaudu pesa ya yule mwana mgombea kiulaini..

sasa umerudi kuwa motivational speaker

hela naisotea,bado sijambahatisha wa kuzileta


😛 😛 😛

Mkuu mimi huwa naandikaga mambo ya manufaa, kupata pesa sio bahati mkuu
 
Ahsante kwa makala nzuri na ubarikiwe daima mkuu.
 
Uzi mzuri kwa mwenye akili japo Mimi ni mlevi sana
 
Heka moja utapata matikiti elfu kumi na kila tikiti utauza elfu mbili🤣🤣🤣 Kuifanya pesa ikutafute sio rahisi Kama kuanzisha uzi jf.....
 
Ubarikiwe sana.
 
Nipe mbinu make nikiwa likizo huwa napata pesa mingi sana but nikiacha miradi yangu na kurudi chuo huwa siikuti Kama nilivyoikuta


Siku zote miradi inahitaji ukaribu wako hasa miradi michanga. Tengeneza miradi ambayo hata usipokuwepo inaweza kujiendesha.
 
Heka moja utapata matikiti elfu kumi na kila tikiti utauza elfu mbili🤣🤣🤣 Kuifanya pesa ikutafute sio rahisi Kama kuanzisha uzi jf.....


Akili inakusaidia kuishi, nawe unapaswa kuisaidia akili.

Sijakuambia hayo mimi ya matikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…