Usitafute pesa; ifanye Pesa ikutafute yenyewe

Bahati mbaya hata kutengeneza mifumo hiyo ya pesa kukufuata inahitaji uwe na pesa kwanza!! Let's say huna ujuzi wowote,huna rasilimali,huna watu from nowhere huwez kutengeneza mifumo hiyo!!
Anyway Ni ushauri ila kwa mtu ambae hana pesa ya kuanzia asiuchukue jumla jumla aanze kwanza kuitafuta pesa baadae ndo pesa itaanza kumtafuta
 
Akili inakusaidia kuishi, nawe unapaswa kuisaidia akili.

Sijakuambia hayo mimi ya matikiti
Hayana tofauti Chief. Kumbuka ni lazima uwe na pesa kutengeneza hayo mazingira ya pesa kukutafuta. Ungeanzia huko. Bandiko lako linasound sana kwa watu ambao tayri wana pesa mkononi na hawajui waifanyie nini. Haya mawazo tulikuwa tunayawaza sana wakati Bado tuko masomoni na tunawategemea wazazi siku ukianza kujitegemea tena bila sapoti yoyote utaelewa. Ni uzi mzuri kwa mwenye pesa ila hajui afanye nini
 
jamaa kwenye hii makala kataka tuwe hadi waGanGa

daah kweli kaWe kumewaka ccm
 
Siku zote kinachotangulia ni kutafuta pesa kwanza alafu ndo unazijengea misingi ya zenyewe kukufuata.Sasa wewe umeandika la pili kua la kwanza.Hivyo vitu vyote ulivyoandika hapo vinahitaji kwanza uwe na pesa ndo uvifanye.sasa hizo ela utazipata wapi bila kuzitafuta.
 
Kuna watu Makala kama hizi zinawaboa sana kama msomaji wa udaku hii makala utaona ndefu tu
 
Sijasoma hata mstari mmoja ila nimevutiwa na hiyo kofia.uyo ni wew mwenyew og kwanin hujaverify akaunti?
 
Naaam Heriel Robert
Asante
 
Kuna formula ukiifata wengine wanaweza kukushangaa lkn ww unajua unafanya nini.

Huwa nasema ukifanya jambo kwa kisingizio eti ningefanyaje na nina njaa. Hiyo njaa haiwezi kuisha na utaendelea kuwa wa bei nafuu. Kwasababu ww ndio unatengeneza mfumo direct au indirect.
Mtu kabla hajakutafuta anajua fulani bei zake huwa zikoje na kazi zake zikoje.
 
Upo sahihi Sana mkuu, vijana tunatakiwa tujifunze kutoka Kwenye huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…