Usitafute pesa kwaajili ya kujenga bali ongeza vyazo vya mapato kwanza

Usitafute pesa kwaajili ya kujenga bali ongeza vyazo vya mapato kwanza

Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Nyumba ya biashara.
 
Haya mambo ni magumu kuyashauri jamani inategemea na interest za mtu na maisha aliyomo pia, mleta uzi unaweza kuwa sahihi kwa upande mwingine usiwe sahii ila inategemea na mtu, kwani hata historia zetu ziko tofauti, ila nyumba ni muhimu hata kabla sijawa na chochote kile.
Nyumba ni asset au liability? Ni asset kwa kipindi fulani na ni liability kwa kipindi fulani pia.
 
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Ni vizuri lakini sio vizuri sana,wengi wetu hatujiamini kwenye biashara kwahiyo baada ya kuwa na kiwanja kinachofuata huwa ni kujenga.
 
Ni vizuri lakini sio vizuri sana,wengi wetu hatujiamini kwenye biashara kwahiyo baada ya kuwa na kiwanja kinachofuata huwa ni kujenga.
Huko kutojiamini sasa hilo ndo tatizo kubwa naloliona
 
Sasa mbona kila siku tunaambiwa maisha ni nyumba? Au ndio ule msemo usemao akili za kuambiwa changanya na zako. ..!
 
Kwa namna moja upo sahihi lkn nyumba ikimalizika inakuwa ni asset ambayo unaweza kuichukulia mkopo benki ukaendeleza biashara zako
 
Kujenga ndo halali,mfano unajenga million 1 unauza milion 5 sasa si business nzuri.au unajenga flame zako 10 n na uko location nzuri unadhan utapata tena shida? Unakuwa kama wazee wa kariakoo bize na kahawa jion ndiga inawachukua utasema hawana kazi kumbe wana flem kibao town
 
Kwa nchi ya Tanzania kujenga ni muhimu sana hasa ukizingatia kodi za nyumba nzuri ni gharama sana.ukijenga nyumba stress zinapungua kwa sehemu kubwa sana
 
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa ununue gari ya kutembelea na huna chanzo kingine cha kukupa pesa ya mafuta. UTAFELI..ile MBAYA.
Rich people thinking. Safi sana.
Watu wengi hawajui kuwa most of the times Nyumba ni Liabilities.
 
kununua kiwanja mapema ni jambo la muhimu sana.. sababu miji inakua sana na ukichelewa utauziwa kiwanja kwa mamilioni..

ila kujenga mapema kama kipato sio kikubwa ni mateso ya miaka mingi sana na sana
Wazo hili nimelipenda sana hata mie ninalo na ndiyo ninalifanyiaga kazi siku zote. Kwanza kiwanja kisha kinakaa kusubiria miradi itakayowezesha kujenga hiyo nyumba. Japo changamoto huwa ni kubwa kwamba ni mradi gani hasa utakaosimama pasipo kuyumba na kufikia lengo?!
 
Back
Top Bottom