Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Una bonge la hoja mwanangu. Hawa jamaa si watu. Wako tayari kulala hata na ndugu zao kwa ajili ya fedha. Hawana utu hata unyama bali ushetani. Hivi mnaooa hao kwenu hakuna wanawake au kuna mnachokimbia hasa ndugu zangu wa kikurya na jirani.Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
Mnmbna iringa wanapaita Iraq af kzazAisee kweli mambo mengi yananipita..
Kumbe Palestina ni uchagani?
Tusisikite kwa furaha kwa kilichomtokea ndugu yetu huyoUliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki
**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Hivi huyu mgogo vipi? Unamkopesha mama mkwe na mama mkwe mwenyewe wa migombani na sio migombani tu ni mpalestina tena wa kule machame unategemea nn.Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki
**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Mwongo huyo, hiyo bafu haikuwa na mlango kama ni bush wanaoga usiku.Ulianzaje kusogea bafuni nyumbani kwa wakwe bila utaratibu? Ni bado mamamkwe wako hadi sasa?
Ilikuwaje mkuuNiliwahi kumsitiri Shemej yangu na watoto watatu (3) kipindi ana matatizo kwenye ndoa Yake (makazi, chakula na pocket money) miezi 6 nilichoambulia kutoka kwa Mama mkwe siri yangu.
Acha kabisa. Nitakiuhadithia siku nikiwa sijanywa wacha niendelee kula biaIlikuwaje mkuu
Pesa ndo password ya wachagaUna bonge la hoja mwanangu. Hawa jamaa si watu. Wako tayari kulala hata na ndugu zao kwa ajili ya fedha. Hawana utu hata unyama bali ushetani. Hivi mnaooa hao kwenu hakuna wanawake au kuna mnachokimbia hasa ndugu zangu wa kikurya na jirani.
Kuna mwingine alipewa zawadi ya kiwanja ukweni akajichanganya kujenga, kilichomkuta baadae anasimulia machozi yakimtokaUliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.