Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Pesa inalazimishiwa huko Uchagani
Propaganda mfu, wachaga ndio wanaongoza kuolewa na watu mashuhuri, ingekuwa ni kweli unayosema wasiingeolewa kwa spidi hivi,mikoa mbali mbali wnatafuta wanawake wa kichaga ukiiwa mchaga maendeleo lazma yaonekane angalia baadhi ya watu mashuhuri waliooa wachaga
1-Benjamin mkapa
2-Fredrick sumaye
3-jaji warioba
4-kippi warioba
5-Antony mtaka
6-Kitila Mkumbo
7-Januari makamba
8-Mwigulu nchemba
9-jaji Mark Bomani
Hão ni baadhi tu
 
Paundwe WIZARA ya Kushughilikia ndoa
 
Wachaga wanafaa waowane wao kwa wao sisi ni kuwala tu
 
Propaganda mfu, wachaga ndio wanaongoza kuolewa na watu mashuhuri, ingekuwa ni kweli unayosema wasiingeolewa kwa spidi hivi,mikoa mbali mbali wnatafuta wanawake wa kichaga ukiiwa mchaga maendeleo lazma yaonekane angalia baadhi ya watu mashuhuri waliooa wachaga
1-Benjamin mkapa
2-Fredrick sumaye
3-jaji warioba
4-kippi warioba
5-Antony mtaka
6-Kitila Mkumbo
7-Januari makamba
8-Mwigulu nchemba
9-jaji Mark Bomani
Hão ni baadhi tu
Una akili finyu hamna mfano, kwa sababu wao walioa basi kila mtu aoe kama wao!? Hii ni ajabu na kweli, can you never stand on your own!?
 
Dah wachaga ni changamoto sana kuishi nao na ukiona anakunyenyekea basi ujue kashaona una kitu kizuri nayeye anakitaka. Nje ya hapo jamaa ni manyang'au kabisa. Wadada wanawaingiza kingi watu kwa kutowajua vizuri na kale karangi ka weupeweupe. Ila kiukweli jamaa hawafai. Kwetu enzi hizo ilikuwa marufuku kabisa kuoa/kuolewa na mchaga.
 
Back
Top Bottom