Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Kuna jambo moja watu wengi huchukulia poa hadi wapitie wenyewe: msaidizi wa karibu sana anaweza kuwa mtesi wako mkubwa kuliko hata adui wa mbali. Ndugu zako—wale mnaoshiriki damu moja—wakiamua kukusaidia, mara nyingi wanakuwa na hidden terms and conditions ambazo hawazisemi hadharani, lakini utaanza kuziona taratibu.
Ndugu wengi hawakusaidii kwa moyo safi. Wanakusaidia ili wakutese, wakunyanyase, wakutawale kimawazo na kimwili. Wanakuwekea masharti ya maisha yako kama vile wewe si mtu mzima mwenye akili timamu. Ukijaribu kuwa na maamuzi yako, utaambiwa unaringa. Ukikataa msaada wao, wanakusambazia maneno ya ovyo: "amekua na maringo", "anaona ametoka", na mengine mengi ya kukuvunjia heshima.
Na hii si hadithi, ni experience—real talk from the streets. Mimi ni shahidi halisi. Nilijaribu kusaidiwa na ndugu, matokeo yake? Depression, stress, and loss of direction. Walini-control hadi nikawa kama remote yao, kila siku ni wao wananiambia nifanye nini. Unakuwa kama slave wa modern age, huku wakikucheka nyuma yako na kusema “asingekuwa mimi leo angekuwa wapi?” Damn!
Kuna msemo mmoja ambao ni fire kabisa, unasema: “Myegemea cha nduguye hufa maskini.” Na hiyo ni fact. Ukingoja ndugu akushike mkono kila wakati, you’ll be forever broke and mentally trapped. Unakuwa crippled mentally, huwezi fanya maamuzi, unashindwa kuchukua risk, kila kitu unasubiri ruhusa au msaada. Bro, life haiko hivyo! Hustle yako mwenyewe, jipe nguvu, fanya makosa ujifunze, usijilemaze kwa visaidizi vya muda ambavyo vinakuumiza kisaikolojia kwa muda mrefu.
Wengine wanaharibu maisha yako kwa wivu, wanakuonyesha wanakusaidia kumbe wanakupiga stop kisirisiri. Wanakuweka sehemu ambayo huwezi soma, huwezi fanya kazi unayotaka, wanakupangia kila kitu huku wakikwamisha kimya kimya. Wanakuwekea ugomvi, wanakugombanisha na watu waliokuwa na future nzuri na wewe, all for nothing but jealousy.
Na ndugu wengine ni kama hood gang leaders, wanataka uwe chini yao 24/7. Ukijaribu kuwa independent, wanaanzisha drama, wanaeneza maneno, wanafanya kila kitu kuhakikisha haufanikiwi. That’s toxic energy, and you gotta cut it off before it swallows you whole.
So kwa mtu anayepitia haya mambo: jifunze kusema hapana. Jifunze kupambana. Jifunze kujitegemea. Usikubali kudhalilishwa kwa jina la kusaidiwa. Kumbuka, self-made ni life made. Kama una uwezo hata wa kuanza na jembe na shamba—anza. Kama ni biashara ya mtaani—anza. Lakini usikubali “msaada” wa kukufunga miguu na mikono kwa minyororo ya kiakili.
Trust no one with your destiny. Especially not family who see your growth as a threat. Fanya yako. Kama kuna ndugu wa kweli wataku-support bila kukuteka, watakuwepo. Wengine? Chuja. Chop 'em off.
Hii dunia ni ya wenye roho ngumu na moyo mgumu. Kunyanyaswa si msaada—ni kizuizi. Jitambue. Jipange. Jiinue. Hakuna mtu atakutetea kama wewe mwenyewe. Na ukishakuwa free, usirudi nyuma tena kwa minyororo hiyo ya kusaidiwa kwa masharti.