Usiteme bigiji kwa karanga za kuonja

Usiteme bigiji kwa karanga za kuonja

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Unatakiwa kujua huonjeshwi mara mbili .

Kazi kwenu
 
Yule wa USIONE VYAELEA alikuonjesha ukamtema wa awali nini?
Naamini ushajifunza sasa!
 
kama imeisha utamu unatema tu maana haitarudia kuwa tamu milele ht kama utaonja mara moja poa tu
 
inategemea ni bigjii gani kama ni PK ama SUPER GOLILA mi stemi hata ukiwa na karanga kisado kizima!
 
Ebo yani nimetoka na big yangu huko nilikotoka niiteme kisa nimekutana na ww hapa tu na vikaranga vyako unaonjesha hata mikono hujanawa!wala sitemi na karanga nilikila navimbiwa!
 
Unaweza ukaitoa big G mdomoni, ukaishika mkononi na baada ya kumaliza kuonja karanga ukairudisha big g mdomoni, ingawa mwanzoni ladha zinapandana, ukiendelea kuitafuna kwa muda ladha yake inarejea.. Jaribu uone kama haija weki!
 
Hapo suala la mtu nia afya ni kama somo la historia............mkono umeshika vingapi?
 
Back
Top Bottom