Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huku dodoma tunaonja hata mara tatu so uwezekano wa kutema ni mkubwa sana
Unaweza ukaitoa big G mdomoni, ukaishika mkononi na baada ya kumaliza kuonja karanga ukairudisha big g mdomoni, ingawa mwanzoni ladha zinapandana, ukiendelea kuitafuna kwa muda ladha yake inarejea.. Jaribu uone kama haija weki!