Fact99% ya waliofungua huu uzi hawajausoma hata nusu ya theluthi yake...
Kuna sehemu nilisoma mkuu hivi kuna relation ya hii meditation na ENTITIES(kuhisi kama kuna m2 anakufuatilia au upo na m2 karibu?)Meditation unafungua milango yako ya kiroho kwa good spirits and bad spirits. Zote unazikaribisha kwa wakati mmoja sasa kama huna ujuzi au ukashindwa kuzipambanua na kuchagua jua kabisa unajiweka kwenye matatizo.
Maisha yako yatatawaliwa na msongo wa mawazo, muda mwingi utakuwa unatamani umeditate lakini utashindwa kwa hofu utakayokuwa nayo mwishoni hiyo hali itaanza kuathili mpaka maisha yako ya nje na shuguri zako za kila siku
Meditation means simply to concentrate / reflect /think/ contemplate on some positive experience.Kwani meditation ni nini?
99% ya waliofungua huu uzi hawajausoma hata nusu ya theluthi yake...