fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Meditation unafungua milango yako ya kiroho kwa good spirits and bad spirits. Zote unazikaribisha kwa wakati mmoja sasa kama huna ujuzi au ukashindwa kuzipambanua na kuchagua jua kabisa unajiweka kwenye matatizo.
Maisha yako yatatawaliwa na msongo wa mawazo, muda mwingi utakuwa unatamani umeditate lakini utashindwa kwa hofu utakayokuwa nayo mwishoni hiyo hali itaanza kuathili mpaka maisha yako ya nje na shuguri zako za kila siku