Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema
Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo mengi sana na Mwalimu Mkuu ambaye ni Mungu Mwenyewe, kama kuna asiyeelewa basi hatuna cha kumsaidia
Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo mengi sana na Mwalimu Mkuu ambaye ni Mungu Mwenyewe, kama kuna asiyeelewa basi hatuna cha kumsaidia