Huyo ni Lecture wa Iringa university
Anarudi kufundisha chuo kikuu
Ana Akili sana, Sema ana masihara sana na mizaha mingi sana
Ni msomi mzuri tu wa falsafa na saikolojia, Tatizo Lake ni anaongea mambo kinyume nyume sana, Usipokuwa makini anakuingiza chaka huyo Chalamila
Anaweza akawa anakusifia kumbe anakukejeli
Anaweza akawa anakukejeli kumbe anakusifia
Juzi kaongea Mwanza kwa lengo la kusifia kuwa watu hawatabeba mabango , Mama kamshutukia kuwa mnafiki mkubwa chalamila
Anaongea mambo zig zag sana
Alitaka kugombea ubunge enzi za JPM, Ghafla akapiga u turn na kujifanya Mbeya kuna miradi mingi ya kusimamia hivyo bora abaki Mbeya, Kumbe alikuwa anaogopa kutumbuliwa na JPM
Huyo janja janja sana