Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wabongo wakikuchukia watakuzushia kila jambo.Wakati anatumbuliwa lori la mizigo yake lilikuwa Nzega halijafika hata Shinyanga amegeuza nalo .
Kama aliondoka vizuri,wengine hujisahau na kuondoka kwa nyodo...Huyo ni Lecture wa Iringa university
Anarudi kufundisha chuo kikuu
Ana Akili sana, Sema ana masihara sana na mizaha mingi sana
Ni msomi mzuri tu wa falsafa na saikolojia, Tatizo Lake ni anaongea mambo kinyume nyume sana, Usipokuwa makini anakuingiza chaka huyo Chalamila
Anaweza akawa anakusifia kumbe anakukejeli
Anaweza akawa anakukejeli kumbe anakusifia
Juzi kaongea Mwanza kwa lengo la kusifia kuwa watu hawatabeba mabango , Mama kamshutukia kuwa mnafiki mkubwa chalamila
Anaongea mambo zig zag sana
Alitaka kugombea ubunge enzi za JPM, Ghafla akapiga u turn na kujifanya Mbeya kuna miradi mingi ya kusimamia hivyo bora abaki Mbeya, Kumbe alikuwa anaogopa kutumbuliwa na JPM
Huyo janja janja sana
Ukisema "Huyo ni Lecture wa Iringa University" una maana gani? Mtu anawezaje kuwa "Lecture"!!?? How? Au ulikua una maana ya "Lecturer" .... Don't say it was a typing error. Vijana wengi wa siku hizi mmekua mkitumia hili neno "Lecture" mkiwa na maana ya mtu yaani "Lecturer"Huyo ni Lecture wa Iringa university
Anarudi kufundisha chuo kikuu
Ana Akili sana, Sema ana masihara sana na mizaha mingi sana
Ni msomi mzuri tu wa falsafa na saikolojia, Tatizo Lake ni anaongea mambo kinyume nyume sana, Usipokuwa makini anakuingiza chaka huyo Chalamila
Anaweza akawa anakusifia kumbe anakukejeli
Anaweza akawa anakukejeli kumbe anakusifia
Juzi kaongea Mwanza kwa lengo la kusifia kuwa watu hawatabeba mabango , Mama kamshutukia kuwa mnafiki mkubwa chalamila
Anaongea mambo zig zag sana
Alitaka kugombea ubunge enzi za JPM, Ghafla akapiga u turn na kujifanya Mbeya kuna miradi mingi ya kusimamia hivyo bora abaki Mbeya, Kumbe alikuwa anaogopa kutumbuliwa na JPM
Huyo janja janja sana
Wabongo wakikuchukia watakuzushia kila jambo.
Mkuu watanzania wengi hawajui kiingereza ila wanakipenda sana. Maadamu wanaelewana au umemwelewa unakausha tu maana utajichosa kusahihisha.Ukisema "Huyo ni Lecture wa Iringa University" una maana gani? Mtu anawezaje kuwa "Lecture"!!?? How? Au ulikua una maana ya "Lecturer" .... Don't say it was a typing error. Vijana wengi wa siku hizi mmekua mkitumia hili neno "Lecture" mkiwa na maana ya mtu yaani "Lecturer"
Lecture ni kile kinachotolewa na mtu ambaye ni Lecturer.
Huyo ni Lecture wa Iringa university
Anarudi kufundisha chuo kikuu
Hata vyeo vya kupigiwa kura sio vya kujivunia kabisa. Just imagine, leo Msigwa, Prof. Jay, Mbowe, Sugu, Heche hakuna tena neno Mheshimiwa! Ahahahahahahah!!!Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC , usafiri wake ukiwa ni V-8 , leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY , tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema !
Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo mengi sana na Mwalimu Mkuu ambaye ni Mungu Mwenyewe , kama kuna asiyeelewa basi hatuna cha kumsaidia .
View attachment 1817180
Huyo ni Lecture wa Iringa university
Anarudi kufundisha chuo kikuu
Ana Akili sana, Sema ana masihara sana na mizaha mingi sana
Ni msomi mzuri tu wa falsafa na saikolojia, Tatizo Lake ni anaongea mambo kinyume nyume sana, Usipokuwa makini anakuingiza chaka huyo Chalamila
Anaweza akawa anakusifia kumbe anakukejeli
Anaweza akawa anakukejeli kumbe anakusifia
Juzi kaongea Mwanza kwa lengo la kusifia kuwa watu hawatabeba mabango , Mama kamshutukia kuwa mnafiki mkubwa chalamila
Anaongea mambo zig zag sana
Alitaka kugombea ubunge enzi za JPM, Ghafla akapiga u turn na kujifanya Mbeya kuna miradi mingi ya kusimamia hivyo bora abaki Mbeya, Kumbe alikuwa anaogopa kutumbuliwa na JPM
Huyo janja janja sana
Nani kakudanganya kwamba uliowataja walishindwa uchaguzi ?Hata vyeo vya kupigiwa kura sio vya kujivunia kabisa. Just imagine, leo Msigwa, Prof. Jay, Mbowe, Sugu, Heche hakuna tena neno Mheshimiwa! Ahahahahahahah!!!
πππKama huyo ni msomi mzuri wa saikolojia na falsafa basi taifa letu ni giza totoro na halina tofauti na kusadikika.
Ahahahahahahahah!Nani kakudanganya kwamba uliowataja walishindwa uchaguzi ?